Kiokotee
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,674
- 2,216
Najua sisi ndio tuna pesa za kununua Mabando pia najua 80%Ya Nyuzi Zilizopo humu Hasa kipindi hiki ni za kwetu sisi Mens..Ila sio Mbaya tukipumzisha vichwa vyetu tuweze kutafakari japo siku moja hizi Nyuzi tunazoandika humu,Nahisi kama tumechoka hivi Au mimi ndio naona peke yangu!! Ahsanteni Mimi hii wiki yote ntaendelea comments zangu za Utopolo tu.