Haya kaka, hili liwe somo kwa wadada waangalie upara zaidi kama wanataka michezeo zaidi. Mbona nawafaham watu flan wenye upaa ka kiwanja cha ndege lakini hata watoto wa kudhaniwa hawakupata ilihali walioa?
Masomo mengine bure tu. Hao wamekosa masomo. Mara sijui ukubwa wa pua ndo unene wa pen.. bure tuu hamna lolote. Ukifika kumbe vibamia mdada mpaka akufungie na kanga tena asikohoe. Masomo yenu bure kabisaaa
Kunaongeza kuwa na hamu ya mapenzi na sio uwezo, uwezo na hamu ni vitu viwili tofauti, uwezo katika mapenzi ni kuhusu experience uliyonayo katika mapenzi, kuwa na upara alafu huna experience uone utakavyo lukaluka km rasta kwenye mwili usio na afya
Naona umeamua kuvuta kamba upande wako! Kuna tafiti nyingine humu ilisema WENYE VITAMBI ni nux, kwa hiyo mwenye kitambi na upara atakuwa balaa kwa kina dada!
Sina kitambi na wala sina upara, gemu yangu si haba!