Nishajua sababu ya kukereka kwako.............. BADILI TABIA
He he.....kweli kabisa.....tena kidandala......
Kaka Mtambuzi, leo nimekosa kabisa cha kuandika kuhusu uzi huu maana kila ninapojaribu kuoanisha ulichoandika na hali halisi sipati unganiko...
Nawewe tuwekee sura yako tukuone..halafu weka na sura ya aliekupora demu wako tusije tukakusupport kumbe una chuki binafsi.
Haka kabinti kananikera kweli haka.....
Kaone vile.............
Mkuu hulali, baada ya white party sasa unasongesha na mtandawo............
Nawewe tuwekee sura yako tukuone..halafu weka na sura ya aliekupora demu wako tusije tukakusupport kumbe una chuki binafsi.