Wanaume wenye sura hii hulewa sifa haraka....!

Mtambuzi sipingi ulichosema ila mi mwenzio nauliza hivi ni kwa kutizama tu sura ya mtu unaweza kujua tabia yake au kuna vigezo vingine maana kuna mtu hapa sura yake si kama hiyo ila tabia zake ni kama hizo hapo juu.....

Nawasilisha..
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana kuina mtu anafanana sura na huyo jamaa huwa anafanya mambo yaliyotajwa.
 
haya; kazaneni na sura
january hii ngoja nisake hela maana sina hata ya vocha
 
Mtambuzi sipingi ulichosema ila mi mwenzio nauliza hivi ni kwa kutizama tu sura ya mtu unaweza kujua tabia yake au kuna vigezo vingine maana kuna mtu hapa sura yake si kama hiyo ila tabia zake ni kama hizo hapo juu.....

Nawasilisha..
Rich woman, iko hivi, sura zetu huweza kutuathiri kwa njia moja ama nyingine. tunapojiangalia kwenye kioo tunajiambia kitu gani, husaidia kujenga baadhi ya tabia zetu zikawa ni matokeo ya tabia fulani tulizo nazo. kwa mfanohasira, kiburi na roho mbaya huweza kumpa mtu sura ya aina fulani (hebu chunguza midomo ya watu waliozoea kubeza kwa kupinda midomo jinsi midomo yao ilivyo hata wakiwa katika hali zao za kawaida, utathibitisha kile ninachosema) wakati furaha, upendo na matumaini huweza kumfanya mtu akapata sura tofauti kabisa.....
Kwa hiyo sio lazima tabia niliyoeleza hapa ikalandana na mtu mwenye sura hiyo pekee, kwani wapo wasiofanana na sura hiyo kama ilivyo, wanaweza kuwa na tabia nilizoeleza hapo juu....

Naamini nimekujibu swali lako.
kamwendo pia hii inakuhusu
 
Asante kwa jibu nzuri hapo sasa nimekuelewa maana nlikuwa njia panda.....
 
Last edited by a moderator:
Kunyonyesha the old ones ni interesting zaidi, don't you think so?:glasses-nerdy:

i play online games on weekends, natoka tuu kwenda sokoni au kununua magazeti.

p.s. mbona anaonekana yoko too old kunyonyeshwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom