Wanaume wenye huruma

Ha ha ha unataka kutuaminisha eti wanaomba hela kwa sababu wanaume jeuri? Njaa ndio sababu
 
Mwanaume anayemfanya mwenzi wake awe na ile security... .mwanaume mbabe kiakili anayejua kutafuta na anayejali familia....mwanaume ambaye anajua mwenzi wake anataka nini wakati gani....hatakiwi kuwa mpole kufanya yote hayo ishu in kujitambua
Mwanaume anayekushake Mara moja moja si mbaya ilimradi anakuweka saw a....sio kwa vipigo lakini
 
Sasa na wewe unayempenda mwanamme kwa sababu ya pesa zake..wewe ni mbaya mara 2 zaidi ya huyo mwanaume..na atakugonga na atakuacha.
 
Wewe umeona hakufai,si umuache??? Ya nn kukubali pesa zake.??
 
Hivi mtu mwenye huruma na anaekupenda kwa dhati, na unaempenda kwa dhati utamfanyia ubaya? Hapo kuna dosari kama si kwa mwanamke basi kwa mwanaume. Ama hakuna mapenzi ya dhati kutoka kwa huyo mwanamke, ni sister duu. Anawapenzi wengi
Mm siwezi kuwa mpole mda wote..hata manabii wenyewe hawakuwa wapole mda wote..yaani hata mwanamke akifanya upumbavu niwe mpole??
 
Hayo sio mapenzi ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…