Na mwanamke mwenye uruma haombi ela ovyo. aNAtaka ndoa xyo maitaj ya ndoaNgoja waje mabazazi utakimbia
Mkuda wewe!Mwanaume mwenye huruma, ni mpenda wanawake, anaethamini wanawake, na ni mkweli, na mwenye moyo mzuri, huyu upendwa tu hata kama hana pesa. Na udumu kwenye ndoa.
Wanaume wakatili, wabakaji, wenye maneno mabovu, waharibifu wa wanawake, wababe wababe, wazinzi, wenyedharau, wenye kuthamini marafiki na magroupe magroupe kuliko mwanamke wake, wanaopenda mamlaka na ukubwa ukubwa, wanaopenda sifa sifa, waongo, wanaojifanya wajanja, hawa wanaitwa washenz type, hawa hawapendwi na hawadumu kwenye ndoa. Wakifulia ukimbiwa, dawa yao ni kukomolewa na kuwadai pesa nyingi, bila pesa hawapendwi.
Kwahiyo mnaopendewa pesa, basi mjue labda munadosari,
Mwanaume mwenye huruma, ni mpenda wanawake, anaethamini wanawake, na ni mkweli, na mwenye moyo mzuri, huyu upendwa tu hata kama hana hela . Na udumu kwenye ndoa.
Uzoefu wako haujatimia....endelea kuzoea hizi mbio utagundua kwanini wanaokimbia pole pole hukimbia mita nyingi(4000) na wanaokimbia kwa maguvu huishia mita 400.Uzoefu wangu unaonesha wanaume wapole, wenye huruma na wenye mapenzi ya dhati huishia kuumizwa sana
Sasa kuna wale wakorofi ndo huwa wana liliwa kilasiku na hawa achwi
*ki ukweli huwa nashindwa kujua kwa nini
HaaaaUzoefu wako haujatimia....endelea kuzoea hizi mbio utagundua kwanini wanaokimbia pole pole hukimbia mita nyingi(4000) na wanaokimbia kwa maguvu huishia mita 400.
Uzoefu wangu unaonesha wanaume wapole, wenye huruma na wenye mapenzi ya dhati huishia kuumizwa sana
Sasa kuna wale wakorofi ndo huwa wana liliwa kilasiku na hawa achwi
*ki ukweli huwa nashindwa kujua kwa nini
SawaUpole na huruma ni vitu viwili tofauti.
Mtu anaweza kuwa na huruma hata kama anaongea sana.
Na anaweza kuwa shenz type hata kama ni mpole.
Wanaume wapole asilimia kuwa ni hatari, wazinzi, wajeuri, na wanamisiri lukuki, ukiambiwa huwezi kuamini.
Sawa
Ila mi nimeongelea wapole na wenye mapenzi ya dhati.
Yaan wanawake hao wakisha gundua wanapendwa bas ndio wanaanza vituko.
Ila kwa anaye mletea nyodo na kiburi aaah dada wa watu anaburuzika vizuri tuu
Hamna ni kawaidaHivi mtu mwenye huruma na anaekupenda kwa dhati, na unaempenda kwa dhati utamfanyia ubaya? Hapo kuna dosari kama si kwa mwanamke basi kwa mwanaume. Ama hakuna mapenzi ya dhati kutoka kwa huyo mwanamke, ni sister duu. Anawapenzi wengi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Dada wewe, mwanaume kama salio halisomi ataisoma namba... Usiwadanganye..