Wanaume Wengine Wakavu Sanaaa! Daaah!

Wanaume Wengine Wakavu Sanaaa! Daaah!

Wanawake wanapenda sana shopping na hilo lipo damuni....
Kuna wakati mwanaume inabidi uwe bandidu kwenye matumizi yasiyo ya lazima...
 
Poor little boy's mind...

.amjamsikia nape? nape amesema maisha bora kwa mtanzania ni apo baadaye sana. hivo uyo mkaka bado ayajamfikia.
sisi wengine yaliyotufikia unamwambia achague zozote.
kutoka out bila 5 million bora nilale ndani tu
 
ndo maana mi nlshaamua mapemaaa!ntarud kuwowa kjjn kwe2,hawa madem km kna lara1 waweza ugua presha bure,kutwa nzma anawaza bata!
 
Hahahaha..saves her right.
lara 1 we dont judge books by the cover. Hujui agreement yao ilikua nini...
 
Last edited by a moderator:
safi sana aiseee kwani nyie mnafikiri kuna ----- na mjinga siku hizi.
ndio maana mm huwa naamua tu kutinga mitaa ya mbugani na chagua mnyama wa haja na uwezo wangu namgegeda na mpachake kwa mgegedo husika na sepa zangu haina kujuana hiyo.hakuna cha baby sijui mpenzi wala sijui takataka gani.
 
Ningekuwa mimi ningemwambia anisubiri humo humo dukani nakuja. Then naondoka zangu moja kwa moja tukutane home. Akileta mchezo na viganja anakula live. Hakuna budget za ghafla namna hiyo. Ukimwendekeza huyo hufanyi maendeleo kabisa. Bora ujiolee ya kichagga hawana swagga za kijinga kama hizi...
 
da jamaa kafanya kweli aisee....maana mademu wanapenda mteremko sanaaaaaa
 
Hahahahahahahaaaaaaaaaa aisee nimecheka sana, ww acha roho mbaya na hela yako ya gut, ndo maana inakuja mijibaba inajibebea vimwana vyenu!

Wabebe tu,ila utaratibu wa kujifanya unaijua shoping kwa hera ya mwenzio, sio!!
 
Igweeeeeeeeeeeeeeee!

Jana nilienda kibotic uchwara ku window shop supraa na midosho ya kitaa! Sasa mule nikawa napigizana kelele na Dulla boy aniahushie bei! Dulla nunda hacheki na kima!

Mara ghafla wakaingia mkaka na sherii wake wameshikana mkono, full malavida, hug kibaooo! Full kudraw attention Dulla akachachawa kuona riziki imemtembelea! Wengine wote tukaonekana si wateja!

Dada anaagiza tu ashiwe ile na ile zigo haswaaa! Mmmmh! Mi nikaguna tu coz nguo 2 zilikuwaza zantoa kamasi si kidogo! Akaenda kujaribu, Mr kasimama pembeni, wengine kimyaaaa! Tunatoa mijicho.

Kulipa sasa kimbembe! Yule bwana kajikausha kimya! Bi dada anajisemesha nimepungukiwa, sina, sitoweza! Mkaka kimyaaaa! Mwisho Dulla akanuna, mdada akamwambia mchuchu wajikatae haoooo wakasepa!

Nikashangaaaa! Mkaka hata kusema amuongezee kidogo! Kimyaaaaaaa! Hata chukua moja tu! MIMI HAPANA AISEEEEE! Sasa what was the point ya kusindikizana?

Inawezekana Wallet ya Mkaka alikuwa nayo Huyo mdada, kwahiyo hakuwa na zaidi.
 
Nyumba zetu nyingi pamoja na relation zetu uchwara zonakosa mawasiliano. Mtaondokaje halafu hamjui mnaenda kufanya nini? Just guessing inawezekana jamaa nae analipiza kisasi baada ya kwenda nae hadi Guest kalipia chumba wameingia, wamevua halafu Demu anauliza, "HIVI UNATAKA KUFANYA NINI?"
Dawa ya Moto ni moto
 
Hahaha. Mmenichekesha!
Mie mamangu alikuwa anasema hata ukialikwa lunch, make sure you order what you can pay for. Kuna kuletewa zawadi, ila kujinunulia nguo jinunulieni bwana. Kwani bf ni mama yako? Lol.

Beggars in designer clothes!
 
Igweeeeeeeeeeeeeeee!

Jana nilienda kibotic uchwara ku window shop supraa na midosho ya kitaa! Sasa mule nikawa napigizana kelele na Dulla boy aniahushie bei! Dulla nunda hacheki na kima!

Mara ghafla wakaingia mkaka na sherii wake wameshikana mkono, full malavida, hug kibaooo! Full kudraw attention Dulla akachachawa kuona riziki imemtembelea! Wengine wote tukaonekana si wateja!

Dada anaagiza tu ashiwe ile na ile zigo haswaaa! Mmmmh! Mi nikaguna tu coz nguo 2 zilikuwaza zantoa kamasi si kidogo! Akaenda kujaribu, Mr kasimama pembeni, wengine kimyaaaa! Tunatoa mijicho.

Kulipa sasa kimbembe! Yule bwana kajikausha kimya! Bi dada anajisemesha nimepungukiwa, sina, sitoweza! Mkaka kimyaaaa! Mwisho Dulla akanuna, mdada akamwambia mchuchu wajikatae haoooo wakasepa!

Nikashangaaaa! Mkaka hata kusema amuongezee kidogo! Kimyaaaaaaa! Hata chukua moja tu! MIMI HAPANA AISEEEEE! Sasa what was the point ya kusindikizana?

Kama wewe ni Lara huyo jamaa nia Amka!
 
Huyo mwana kaka ndo anafaa kwani kusindikizana kwa starehe zake zikamgarim yeye?
 
Igweeeeeeeeeeeeeeee! Jana nilienda kibotic uchwara ku window shop supraa na midosho ya kitaa! Sasa mule nikawa napigizana kelele na Dulla boy aniahushie bei! Dulla nunda hacheki na kima! Mara ghafla wakaingia mkaka na sherii wake wameshikana mkono, full malavida, hug kibaooo! Full kudraw attention Dulla akachachawa kuona riziki imemtembelea! Wengine wote tukaonekana si wateja! Dada anaagiza tu ashiwe ile na ile zigo haswaaa! Mmmmh! Mi nikaguna tu coz nguo 2 zilikuwaza zantoa kamasi si kidogo! Akaenda kujaribu, Mr kasimama pembeni, wengine kimyaaaa! Tunatoa mijicho. Kulipa sasa kimbembe! Yule bwana kajikausha kimya! Bi dada anajisemesha nimepungukiwa, sina, sitoweza! Mkaka kimyaaaa! Mwisho Dulla akanuna, mdada akamwambia mchuchu wajikatae haoooo wakasepa! Nikashangaaaa! Mkaka hata kusema amuongezee kidogo! Kimyaaaaaaa! Hata chukua moja tu! MIMI HAPANA AISEEEEE! Sasa what was the point ya kusindikizana?
Mimi ninafikiri alicho kifanya huyo jamaa ni sahihi kabisa kwa sababu huwezi kuagiza vitu bila kujua mwenzio anafedha kiasi gani ndio maana huwa ni busara kufanya mazungumzo kabla kwenda shopping vinginevyo kama mwanaume akikuita na kusema tnde kwa shopping hapo ujue amejiandaa unahaki ya kuagiza kila unacho taka mambo ya kushitukizana haya ni kuumbuana.
 
Igweeeeeeeeeeeeeeee!

Jana nilienda kibotic uchwara ku window shop supraa na midosho ya kitaa! Sasa mule nikawa napigizana kelele na Dulla boy aniahushie bei! Dulla nunda hacheki na kima!

Mara ghafla wakaingia mkaka na sherii wake wameshikana mkono, full malavida, hug kibaooo! Full kudraw attention Dulla akachachawa kuona riziki imemtembelea! Wengine wote tukaonekana si wateja!

Dada anaagiza tu ashiwe ile na ile zigo haswaaa! Mmmmh! Mi nikaguna tu coz nguo 2 zilikuwaza zantoa kamasi si kidogo! Akaenda kujaribu, Mr kasimama pembeni, wengine kimyaaaa! Tunatoa mijicho.

Kulipa sasa kimbembe! Yule bwana kajikausha kimya! Bi dada anajisemesha nimepungukiwa, sina, sitoweza! Mkaka kimyaaaa! Mwisho Dulla akanuna, mdada akamwambia mchuchu wajikatae haoooo wakasepa!

Nikashangaaaa! Mkaka hata kusema amuongezee kidogo! Kimyaaaaaaa! Hata chukua moja tu! MIMI HAPANA AISEEEEE! Sasa what was the point ya kusindikizana?

Hayatuhusu. Umbeya mtupu. Peleka kwenye magazeti ya shigongo.
 
duh msela has made my monday...say stoooop to mfume jike...angalau hata mara moja kwa mwezi!
afterall shoping si ya muhimu sana hadi tulale njaa....
 
1240309_726016420745950_1035476270_n.jpg
 
Back
Top Bottom