Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
Buku ya nini, si wamezoea kuchezewa? Unamuacha hivyo hivyo ili akipata boda boda ajitongozeshe apate lifti.
okay!!!
Buku ya nini, si wamezoea kuchezewa? Unamuacha hivyo hivyo ili akipata boda boda ajitongozeshe apate lifti.
hakatwi mtu hapa!!!!!Igweeeeeeeeeeeeeeee!
Jana nilienda kibotic uchwara ku window shop supraa na midosho ya kitaa! Sasa mule nikawa napigizana kelele na Dulla boy aniahushie bei! Dulla nunda hacheki na kima!
Mara ghafla wakaingia mkaka na sherii wake wameshikana mkono, full malavida, hug kibaooo! Full kudraw attention Dulla akachachawa kuona riziki imemtembelea! Wengine wote tukaonekana si wateja!
Dada anaagiza tu ashiwe ile na ile zigo haswaaa! Mmmmh! Mi nikaguna tu coz nguo 2 zilikuwaza zantoa kamasi si kidogo! Akaenda kujaribu, Mr kasimama pembeni, wengine kimyaaaa! Tunatoa mijicho.
Kulipa sasa kimbembe! Yule bwana kajikausha kimya! Bi dada anajisemesha nimepungukiwa, sina, sitoweza! Mkaka kimyaaaa! Mwisho Dulla akanuna, mdada akamwambia mchuchu wajikatae haoooo wakasepa!
Nikashangaaaa! Mkaka hata kusema amuongezee kidogo! Kimyaaaaaaa! Hata chukua moja tu! MIMI HAPANA AISEEEEE! Sasa what was the point ya kusindikizana?
hhahahahaha naona lara 1 umeamua kupunguza makali kwa kuwatete wanaume kidogo hahahaha ingekuwa befor hili beef la boys vs. girls tittle ya thread isingekuwa ivi may be ingekuwa #wakaka wa mjini wanatia huruma . kama ile ya watafuta maishaIgweeeeeeeeeeeeeeee!
Jana nilienda kibotic uchwara ku window shop supraa na midosho ya kitaa! Sasa mule nikawa napigizana kelele na Dulla boy aniahushie bei! Dulla nunda hacheki na kima!
Mara ghafla wakaingia mkaka na sherii wake wameshikana mkono, full malavida, hug kibaooo! Full kudraw attention Dulla akachachawa kuona riziki imemtembelea! Wengine wote tukaonekana si wateja!
Dada anaagiza tu ashiwe ile na ile zigo haswaaa! Mmmmh! Mi nikaguna tu coz nguo 2 zilikuwaza zantoa kamasi si kidogo! Akaenda kujaribu, Mr kasimama pembeni, wengine kimyaaaa! Tunatoa mijicho.
Kulipa sasa kimbembe! Yule bwana kajikausha kimya! Bi dada anajisemesha nimepungukiwa, sina, sitoweza! Mkaka kimyaaaa! Mwisho Dulla akanuna, mdada akamwambia mchuchu wajikatae haoooo wakasepa!
Nikashangaaaa! Mkaka hata kusema amuongezee kidogo! Kimyaaaaaaa! Hata chukua moja tu! MIMI HAPANA AISEEEEE! Sasa what was the point ya kusindikizana?
Hahaha. Mmenichekesha!
Mie mamangu alikuwa anasema hata ukialikwa lunch, make sure you order what you can pay for. Kuna kuletewa zawadi, ila kujinunulia nguo jinunulieni bwana. Kwani bf ni mama yako? Lol.
Beggars in designer clothes!
Du! Huyo mkaka ni kauzu zaidi ya dagaa ila mdada amejifunza kituIgweeeeeeeeeeeeeeee! Jana nilienda kibotic uchwara ku window shop supraa na midosho ya kitaa! Sasa mule nikawa napigizana kelele na Dulla boy aniahushie bei! Dulla nunda hacheki na kima! Mara ghafla wakaingia mkaka na sherii wake wameshikana mkono, full malavida, hug kibaooo! Full kudraw attention Dulla akachachawa kuona riziki imemtembelea! Wengine wote tukaonekana si wateja! Dada anaagiza tu ashiwe ile na ile zigo haswaaa! Mmmmh! Mi nikaguna tu coz nguo 2 zilikuwaza zantoa kamasi si kidogo! Akaenda kujaribu, Mr kasimama pembeni, wengine kimyaaaa! Tunatoa mijicho. Kulipa sasa kimbembe! Yule bwana kajikausha kimya! Bi dada anajisemesha nimepungukiwa, sina, sitoweza! Mkaka kimyaaaa! Mwisho Dulla akanuna, mdada akamwambia mchuchu wajikatae haoooo wakasepa! Nikashangaaaa! Mkaka hata kusema amuongezee kidogo! Kimyaaaaaaa! Hata chukua moja tu! MIMI HAPANA AISEEEEE! Sasa what was the point ya kusindikizana?