carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,272
Nyumba zetu nyingi pamoja na relation zetu uchwara zonakosa mawasiliano. Mtaondokaje halafu hamjui mnaenda kufanya nini? Just guessing inawezekana jamaa nae analipiza kisasi baada ya kwenda nae hadi Guest kalipia chumba wameingia, wamevua halafu Demu anauliza, "HIVI UNATAKA KUFANYA NINI?"
Dawa ya Moto ni moto
hahaha..hivi hyo tabia inatokeaga eh? Kulipa lodge then binti anakataa kugongwa!
Patachimbika kama pamechimbwa na greda!