Wanaume Wengine Wakavu Sanaaa! Daaah!

Wanaume Wengine Wakavu Sanaaa! Daaah!

M in love with dis njembaaa....kukusindikiza tu ndo uanze kujichagulisha minguo? Subir Siku nikupeleke shoping kwa rizaa yangu
 
lara 1 kuna duka fulani lina nguo nzuri za kike. Mke wangu akaanza hizo za kila siku kwenda. Nikamsetia budget lakini mwenzangu budget sio budget kwake.

Siku ya siku tuko mizungukoni kacheki insta akaona duka lina vitu vipya. Mfukoni na buku 5 na gari wese hamna, tuko na dogo analia kichizi ndani. Nikapigwa dear nyingiii tupitie tupitie. Nikamwambia mimi sina hela,, haamini tupitie bana. Haya tukaenda.

Sikushuka siku hiyo akatoka na mbwembwe zake pale nikaona huu msala. Nikaenda kijipub pembeni nikajichukulia ndovu 2 bariiiiiiiidi halafu nikawa nazipigia kwenye gari.

Akarudi na lundo gharama laki na uchee . Dear vipi sasa, mzigo ndio huu. Nikamtolea macho huku nashusha ndovvvvvvvvvvvvv bariiidi nikamwambia hapa ile buku 5 nishanunua ndovu 2 za kutoa machungu, nina buku tu si nilikwambia??

Akanuna mbayaaa, akarudi mpole na lile duka huchukui bila hela na ukichelewa tu zinachukuliwa. Moyoni nachekelea mbayaaaa! Tukarudi hatuongei. Kufika home nikaona anatafuta tafuta kumbe kuna mahala kazificha akaenda mpesa akamtumia fasta zisichukuliwe.

Niliponea chupuchupu kuingia mkenge....

mkuu lundo la nguo then laki na uchee? mitumba au nguo za ukweli? maana kusema kweli kwa jinsi ninavyonunua na wife nguo zake laki mbili hupati hata nguo nne! sasa wewe lundo laki na ushee? au wadada hii kweli?
 
Kuna wadada wanaleta nguo za mitumba, 15k na 35k(Gauni). Laki na nusu mtu akichukua 15k ni nguo kumi. Na imagination yako ya lundo la nguo sio besela zima. Ni nguo nyingi nyingi zikishikwa mkononi.
 
mkuu lundo la nguo then laki na uchee? mitumba au nguo za ukweli? maana kusema kweli kwa jinsi ninavyonunua na wife nguo zake laki mbili hupati hata nguo nne! sasa wewe lundo laki na ushee? au wadada hii kweli?

Mkuu huko kwenye hizo nguo za 'ukweli' budget yake tayari tulishaset. Ila tukienda lazima nipige kwanza GRANTS kupunguza maumivu. Wanawake sijui wana wazimu au nyungunyungu vichwani na material things!!! Nguo, mikoba, viatu!!
 
Haisee huyu jamaa ana akili kinoma maana alishaona picha yote kwani siku hizi mademu wa kibongo kutokana na tamaa zao utawasikia, mpenzi (mtu umekutana naye siku moja tu) nataka kwenda sehemu fulani (hakuambii wapi kuogopa utashituka mapema) naomba unisindikize. Then ukiingia kichwa kichwa na kwenda naye utajikuta upo kwenye viboutique msela (nguo za kichina na kituruki za low quality), demu atajifanya anachagua kukupima mkaka kuona kama utamnunulia, atakudekea hapo mpaka uingie line na ukiwa mjinga utajiingiza hasara kumnunulia vitu vya mamilioni na zaidi wakati wanaopiga na kumkomoa huyo demu ni wengine kabisa na wasiompa hata elfu 5. Mademu wa kibongo hawana issue siku hizi, ni kuwachapa tu na kuingia kitaa basi, ama ukienda nao gesti unachapa tani yako then unaruka dirisha la chooni na kuwaacha hapo pekee wakamatwe kwa kutolipa, that's the way to do them ili wajifunze.

My goodness..................!!! lazima utakuwa ulitobolewa mifuko wewe....tena kulee..........!!! hahahaaa
msiwe mnaparamia tu hovyohovyo!!!

na unafikiri ukimuona siku ya kwanza kapendeza unafikiri anavaa viwalo vipi sasa!!! kugharamia hakuepukiki!!!

pole mwaya!!
vipi mambo lakini?
 
Hahaha unaendaje shopping kwa budget ya mwenzako? angalau basi angemjulisha hahahhahah jamani akha mie endeleeni kuniona mshamba tu.............
 
Halafu wanawake hawahawa tegemezi watadai usawa na wanaume?

Au ndo wanauza haki ya kutaka usawa kwa kikombe cha uji na mikoba ya Uingereza?
 
Igweeeeeeeeeeeeeeee!

Jana nilienda kibotic uchwara ku window shop supraa na midosho ya kitaa! Sasa mule nikawa napigizana kelele na Dulla boy aniahushie bei! Dulla nunda hacheki na kima!

Mara ghafla wakaingia mkaka na sherii wake wameshikana mkono, full malavida, hug kibaooo! Full kudraw attention Dulla akachachawa kuona riziki imemtembelea! Wengine wote tukaonekana si wateja!

Dada anaagiza tu ashiwe ile na ile zigo haswaaa! Mmmmh! Mi nikaguna tu coz nguo 2 zilikuwaza zantoa kamasi si kidogo! Akaenda kujaribu, Mr kasimama pembeni, wengine kimyaaaa! Tunatoa mijicho.

Kulipa sasa kimbembe! Yule bwana kajikausha kimya! Bi dada anajisemesha nimepungukiwa, sina, sitoweza! Mkaka kimyaaaa! Mwisho Dulla akanuna, mdada akamwambia mchuchu wajikatae haoooo wakasepa!

Nikashangaaaa! Mkaka hata kusema amuongezee kidogo! Kimyaaaaaaa! Hata chukua moja tu! MIMI HAPANA AISEEEEE! Sasa what was the point ya kusindikizana?

huwezi jua inawezekana hata hicho kiasi ambacho hakijatosha alitoa huyo mkaka alimkabidh huko watokako, sasa aongeze tena?
 
Daaa jamaa huyu jamaa ni kauzu hile na ndivyo inavyo takiwa sema tunashindwa tuu.

Alaf kwa nini wanawake wanapenda kuwa tegemezi? Kwa nini umgeuze mtu kama baba au mama yako?

Alaf ndio hawa wakiona kaka zao wana toa pesa kwa wifi zao wana nuna sana na wanaanza kusema kaka ana chunwa.

Daaa hila hii imenichekesha sana
 
.amjamsikia nape? nape amesema maisha bora kwa mtanzania ni apo baadaye sana. hivo uyo mkaka bado ayajamfikia.
sisi wengine yaliyotufikia unamwambia achague zozote.
kutoka out bila 5 million bora nilale ndani tu
tehe tehe za zimbabwe hizo mkuu
 
Igweeeeeeeeeeeeeeee!

Jana nilienda kibotic uchwara ku window shop supraa na midosho ya kitaa! Sasa mule nikawa napigizana kelele na Dulla boy aniahushie bei! Dulla nunda hacheki na kima!

Mara ghafla wakaingia mkaka na sherii wake wameshikana mkono, full malavida, hug kibaooo! Full kudraw attention Dulla akachachawa kuona riziki imemtembelea! Wengine wote tukaonekana si wateja!

Dada anaagiza tu ashiwe ile na ile zigo haswaaa! Mmmmh! Mi nikaguna tu coz nguo 2 zilikuwaza zantoa kamasi si kidogo! Akaenda kujaribu, Mr kasimama pembeni, wengine kimyaaaa! Tunatoa mijicho.

Kulipa sasa kimbembe! Yule bwana kajikausha kimya! Bi dada anajisemesha nimepungukiwa, sina, sitoweza! Mkaka kimyaaaa! Mwisho Dulla akanuna, mdada akamwambia mchuchu wajikatae haoooo wakasepa!

Nikashangaaaa! Mkaka hata kusema amuongezee kidogo! Kimyaaaaaaa! Hata chukua moja tu! MIMI HAPANA AISEEEEE! Sasa what was the point ya kusindikizana?

Holy Grail!!..Huyu kamanda achukue tano kwanza...Huu ushambenga wa kupigia bajeti hela ya msela wakati hujuhi hali ya bajeti yake imekaaje na ukiwa huja discuss nae before haikubaliki.Haya mambo yanakera sana na ndo maana yanatufanya wengine tuwakimbie dada zetu tuwatafute wajapani au wanawake wanaotoka mabara mengine(Ukiondoa wadada wanaotoka pacifics,Tonga,Micronesia,Bahamas etc manake nao kama wa kwetu tu wanatega)....Ustaharabu ni kuwekana sawa before kujua kama jamaa yuko in good financial position otherwise ni kujitakia tu haya yaliyomkuta huyo mdada!!
 
Hiyo ni hadithi! Ipeleke kwa Chei chei.

Mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!! LIKE WHAT YOU THINK MATTERS! Toa ya kwako na umpelekee mkeo! Usitubane humu!
 
My goodness..................!!! lazima utakuwa ulitobolewa mifuko wewe....tena kulee..........!!! hahahaaa
msiwe mnaparamia tu hovyohovyo!!!

na unafikiri ukimuona siku ya kwanza kapendeza unafikiri anavaa viwalo vipi sasa!!! kugharamia hakuepukiki!!!

pole mwaya!!
vipi mambo lakini?

Sister Paloma sijatobolewa mifuko wala nini ila kama ni matumizi tu ya hapa na pale nilifanya sana (outing kula, kunywa, disco) sawa, ila siyo kufikia mpaka kumepeleka demu kwenye viboutique na kupoteza mamilioni, hapana. Nimeyasema haya kutokana na elimu dunia tu tunayojifunza kutokana na wenzetu kufanyiziwa.
 
Last edited by a moderator:
Na mimi nimo kwenye hiyo list. Eti ofisi mnaenda lunch, dada anakuambia kama mwanaume kweli lipa. Haa, mi nakuambia kulipa silipi na nabaki kuwa mwanaume.
 
Back
Top Bottom