lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
Igweeeeeeeeeeeeeeee!
Jana nilienda kibotic uchwara ku window shop supraa na midosho ya kitaa! Sasa mule nikawa napigizana kelele na Dulla boy aniahushie bei! Dulla nunda hacheki na kima!
Mara ghafla wakaingia mkaka na sherii wake wameshikana mkono, full malavida, hug kibaooo! Full kudraw attention Dulla akachachawa kuona riziki imemtembelea! Wengine wote tukaonekana si wateja!
Dada anaagiza tu ashiwe ile na ile zigo haswaaa! Mmmmh! Mi nikaguna tu coz nguo 2 zilikuwaza zantoa kamasi si kidogo! Akaenda kujaribu, Mr kasimama pembeni, wengine kimyaaaa! Tunatoa mijicho.
Kulipa sasa kimbembe! Yule bwana kajikausha kimya! Bi dada anajisemesha nimepungukiwa, sina, sitoweza! Mkaka kimyaaaa! Mwisho Dulla akanuna, mdada akamwambia mchuchu wajikatae haoooo wakasepa!
Nikashangaaaa! Mkaka hata kusema amuongezee kidogo! Kimyaaaaaaa! Hata chukua moja tu! MIMI HAPANA AISEEEEE! Sasa what was the point ya kusindikizana?