Wanaume wengine ni hasara tu

Wanaume wengine ni hasara tu

ahaa kaka si unajua hawa dada zetu wakisha kuwa under someone hawawezi kuwa na maamuzi mpaka wame zao waseme
na yule jamaa ni cha pombe sana kwa hiyo nafikili pesa yote analipa madeni ya pombe

Unashangaa nini wakati ndiyo mfumo dume kutawaliwa na mume? Sasa unaunyooshea kidole kwavile dada yako ndiyo victim? Hata wewe acha tabia ya kutawala na kunyanyasa Dada za wenzio
 
Saaana, yani mpaka mtu unajiuliza kweli wanaume wameisha kiasi hiki

Tuko Brainwashed na jamii my dear! Hata garasa beba ili uonekane bora zaidi ya wengine, kwavile mwanamke bora ni yule aliyeolewa!
Ndiyo sababu wengine wananyanyaswa hata kuuawa kwa mgongo wa uvumilivu ndoani!
 
Dada yetu tulimsomesha wenyewe ajabu baada tu ya kupata ajira akaleta mpare mmoja nyumbani eti anataka kuolewa, sasa tangu aolewe hajui ATM inafananaje wala ina rangi gani jamaa kateka kadi ya Benk.

Na hata akishachukua hiyo salary yake hampi ata mia hadi sister anatupigia simu kutuomba tumpige tafu, jamani kweli huu ni ungwana?

Haya ni maelewano ya kifamilia. Hayatuhusu.
 
aah Salt lakini inaniuma, si unajua kumwacha tu pia ni ishu, damu ni nzito kuliko mbege ndugu yangu
Ujinga wa watu wa aina hiyo ukimshauri anahisi kuonewa wivu
akiwa na baby wake huko wamepandishiana miguu kama miwa anakushtaki
ndo mambo ya kuanza kuonekana kidudu mtu
akuuuuu mi huwa sisemi kitu kwa watu wa hivo
hata akifilisiwa akauza hadi gagulo zake....mie kimya:couch2:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom