dada yetu tulimsomesha wenyewe ajabu baada tu ya kupata ajira akaleta mpare moja nyumbani eti anataka kuolewa, sasa tangu aolewe hajui ATM inafananaje wala ina rangi gani jamaa kateka kadi ya Benk, na ata akishachukua hiyo salary yake hampi ata mia adi sister anatupigia cm kutuomba tumpige tafu, jamani kweli huu ni ungwana?
Embu niambie ulivoliona ukafikiria nn?
Bora ukosee njia na sio mume
mzee kama unaubaguzi wa kikabila...afu ndoa ya sister ako haikuhusu meku,anacho pata dada ako mpaka kamkabizi shemeji kadi ya atm unakujua,we uchuna fata life yakoDada yetu tulimsomesha wenyewe ajabu baada tu ya kupata ajira akaleta mpare mmoja nyumbani eti anataka kuolewa, sasa tangu aolewe hajui ATM inafananaje wala ina rangi gani jamaa kateka kadi ya Benk.
Na hata akishachukua hiyo salary yake hampi ata mia hadi sister anatupigia simu kutuomba tumpige tafu, jamani kweli huu ni ungwana?
Dada yetu tulimsomesha wenyewe ajabu baada tu ya kupata ajira akaleta mpare mmoja nyumbani eti anataka kuolewa, sasa tangu aolewe hajui ATM inafananaje wala ina rangi gani jamaa kateka kadi ya Benk.
Na hata akishachukua hiyo salary yake hampi ata mia hadi sister anatupigia simu kutuomba tumpige tafu, jamani kweli huu ni ungwana?
Wakati mwingine tunakosea kumbe maskini wala sio akili zake anazotumia wameshamuharibu kabisa na dawa ni kupelekwa kufanyiwa maombezi mahali popote penye Upako wa Kuvunja nguvu zote za giza.
Dada yetu tulimsomesha wenyewe ajabu baada tu ya kupata ajira akaleta mpare mmoja nyumbani eti anataka kuolewa, sasa tangu aolewe hajui ATM inafananaje wala ina rangi gani jamaa kateka kadi ya Benk.
Na hata akishachukua hiyo salary yake hampi ata mia hadi sister anatupigia simu kutuomba tumpige tafu, jamani kweli huu ni ungwana?
kulikuwa na umuhimu gani kutaja kabila maana tabia haina kabila maana hata mimi nalamba mshahara wa mke wangu tofauti ni kwamba anapata chochote anachohitaji na hata kadi yangu na yeye ruksa kuchukua vijisenti kadri ya nafsi yake ipendavyo.
THINKERS! Huraaaaaay!