naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,435
Dada yetu tulimsomesha wenyewe ajabu baada tu ya kupata ajira akaleta mpare mmoja nyumbani eti anataka kuolewa, sasa tangu aolewe hajui ATM inafananaje wala ina rangi gani jamaa kateka kadi ya Benk.
Na hata akishachukua hiyo salary yake hampi ata mia hadi sister anatupigia simu kutuomba tumpige tafu, jamani kweli huu ni ungwana?
Na hata akishachukua hiyo salary yake hampi ata mia hadi sister anatupigia simu kutuomba tumpige tafu, jamani kweli huu ni ungwana?