Wanaume wengi wanatembea na machangudoa bila kufahamu

Wanaume wengi wanatembea na machangudoa bila kufahamu

Unaweza fanya utafiti kwaajili ya kumfaham mwanamke na usifanikiwe milele kwa kuwa wanajua kutunza siri na ku-behave tofauti kulingana na mazingira waliopo kwa mfano,kanisani kwe2 kuna wanakwaya ni Malaya wa kutupwa,kwenye maombi ya 12 za asbh au 12 jioni huwa hawakosekani! So muoaji akja church kutafuta make lazma atumbukie.Hao hao wanakwaya wanagongana wenyewe kwa wenyewe,wengine wanagongwa na wazee wa kanisa na wengine wanagongwa na watu wa mitaani hovyo hovyo na wengine wanauza papuchi zao live live.Kuepuka majanga haya ni kumuomba Mungu tu pekee
 
Hii ni story ya kweli. Kijana mmoja alikuwa na girlfriend wake amekwenda kusoma Malaysia.

Kijana akawa huku bongo anamtumia pesa demu wake ya kujikimu. Ikafika wakati mmoja akawa na rafiki naye akampeleka kwa rafiki aliyetoka Malysia wako ghetto story nyingi jamaa akatoa album lake la lina picha nyingi za alipokuwa malysia anasoma na wabongo wengine wanafunzi, hamadi yule mwenye demu wake akamuoba yule demu kwenye lile album.
Kwa ujanja akamuuliza yule jamaa huyu dada mrembo nimempenda vipi, mwenye album akamwambia aha achana na huyo demu anaitwa fulani ni mgawaji sana kwa wanaijeria hakuna kitu hapo.

Jamaa ilimuuma sana kwani alikuwa anategemea mtoto akimaliza chuo aje amuoe na limsapoti kifedha ili aishi vizuri Malysia.
 
Kweli kabisaaa na machale yakikucheza ni changudoa SEPA haraka sana wala usigeuke nyuma. Machangudoa si lazima wawe wale wa kusimama mtaani kusubiri wateja.

Mwanzo kabisa niseme haya ni maoni na mawazo yangu, kwa ushahidi kidogo nilioupata.Imekuwa ni kawaida sana kukutana na mwanamke/mwanaume, inaweza kuwa kwenye daladala, ofisi, bar, beach na sehemu nyinginezo na kujikuta umeanzisha mahusiano ya kimapenzi kwa kufahamiana kwa mda mfupi au bila kufahamiana vizuri hata kidogo, soma story hii iliyotokealeo hii asubuhi.

Jamaa yangu mmoja, mshirika katika biashara tulikuwa na miadi ya kukutana asubuhi ya leo, akaniambia nimfate kwa kuwa hakuwa na usafiri na nikafanya hivyo, amefikia silver spring, sinza nilimfata mida ya saa kumi na mbili kasoro ili tuelekee nje ya mji.Wakati tunatoka nikapitia njia ya corner bar, niweke mafuta kwenye ile petrol station pembeni. Ile njia ina madadapoa wengi sana wanajipanga kwenye barabara na mida hiyo bado walikuwepo, ghafla jamaa akaniambia, embu simama kaka, akamuita dada mmoja kwa jina lake yule dada alivyokuja na kumuona jamaa alitimua mbio kila mtu alishangaa.

Nilimuiliza jamaa inakuaje, unamjua , jamaa alilia akaniambia huyu mwanamke ni mpenzi wake na anaishi kibaha na mama yake, wameanza kuwa pamoja kama miezi miwili imepita na alikuwa ana mpango wa kumuoa, jamaa nae anakaa Kibaha ila hawaishi pamoja,jamaa alitia huruma sana alilia kama mtoto business trip ikawa trip ya kupeana faraja, hata tulichokifata hakikufanikiwa nikajisemea hii ni mipango ya Mungu.

Labda biashara iliyotakiwa kufanyika siku hii ni hiyo ya jamaa kujua kuhusu mpenzi wake so sijilaumu,hajielewi mpaka mda huu ila nashukuru amenielewa kwa ushauri niliompa.Hii ishu imenifanya niwe muoga sana kwa hawa wadada ninaowatamani mtaani, inabidi tuwe makini sana na watu tunaonzisha nao mahusiano mtaani hilo liwe kama funzo, mjue mtu wako vizuri, tumia kinga na muombe Mungu sana.
 
Mkuu kuchunguzana kabla hamjatafunana ni muhimu mno
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ndiyo mkome na uchepukaji siku ya siku unapima mkeo hana Mungu kamuonea huruma maana wewe uliufuata mori na mke anakuaga nenda kamtafute aliye kupunguzia VVU mie nasepa ndiyo hapo mnaanza wanawake sijui wapo vipi wakati unaenda kufanya umalaya huko ulinishirikisha
 
Back
Top Bottom