Zimefka mkuu, inauma kweli jamaa anafikiria ukimwi tuu
vp tukupe contact zake ili umfariji wkend hii?
Zimefka mkuu, inauma kweli jamaa anafikiria ukimwi tuu
Miezi mitatu bila mahusiano yoyote!!!??
Acha utani bana punguza kidogo walau Mwezi mmoja atajaribu labda..
I think wanawake siku hizi hatujielewi datz y tunapoteza bahat mikonon mwetu.Mungu aliye hai atuhurumie we need to change.
wanaume wenyewe awaa atarudia tu
kuna mijitu aijijali ilishajikataa yenyewe
we mtu na akili zako unaanzaje kutongoza avata kwa mfano??
Changudoa wako aina 3
1. Changudoa huru
- Hawa ni wale wanaosimama barabarani na sehemu nyingine za starehe. Wako huru yoyote yule hupata huduma. Wengi wao ni wezi hawachelewi kukuliza wakipata fursa na hii ndiyo kazi wanayoitegemea kwenye maisha yao. Wao ni cash tu hakuna cheki wala mkopo. Hawana wivu kabisa
2. Changudoa Mtandao
- Hawa hufanya kazi kwa njia ya mawasiliano ya simu na mitandao ya kijamii. Wengi wao ni wastaarabu na wengine huwa na kazi nyingine
Anaweza kuwa na wateja wake 15 hivi ambao anajua jinsi ya kuwapanga na anaweza kutoa mkopo. Pia wana wivu kidogo.
3. Changudoa Siri
- Hawa ni wapenzi/wachumba/wake za watu
Malipo yao si ya moja kwa moja yaweza kuwa lunch, lift, mafuta ya gari, cheo au upendeleo kazini na mizinga ya hapa na pale. Huwa na wateja 2 - 3 mara nyingi huwa ni workmates au classmates au jirani yake. Biashara yake hufanya saa za kazi hivyo ni vigumu kujua. Wana wivu sana
mimi nimeshawahi kuwa na uhusiano na mdada Fulani (jina kapuni) kanisani kwetu ni kiongozi wa kwaya ya vijana, siku nimepita pale Sinza Mori namuona nusu uchi nikaenda kupaki gari pembeni kuchungulia namuona kachukuliwa kwenye gari huyoo
kwa vyuma vilivyokamatana wacha tu hali iendeleeMh hii kali, hlf machangu wengi wanaojiuza dar approx 80% wanatoa hadi huduma ya tigo a.k.a 0713, tigo unaipata had kwa 20,000tsh. joshua_ok