Kaundime2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 1,085
- 461
inauma sana, ila ni fundisho pia.. cdhani kama mara ya pili atarudia kosa.! pole kwake
wanaume wenyewe awaa atarudia tu
kuna mijitu aijijali ilishajikataa yenyewe
we mtu na akili zako unaanzaje kutongoza avata kwa mfano??