Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,668
- Thread starter
- #61
Hapo kwenye red pana kazi sana ie akuache asikushauri kuacha pombe na ameona unamissbehave akuache tu kisa kakuta unakunywa pombe na umesema unataka mcha mungu, mbona unachanganya sasa. Wacha Mungu kwao pombe mwiko labda mcha mungu wa kubeep. Kwenye blue umezungumzia elimu mbona kuna walioishia form 4 wanafaa tu au je huoni kuwa hiki kitakua kikwazo cha wewe kumpata alie bora hata alie na elimu chini ya uliyotaka.
Kiukweli sifa hizo kama hautakua flexible basi mtu huyo bado hajazaliwa. Sidhani kama ni rahisi kumpata wa hivyo.
Pombe kwa kiasi tu, sio mtu uwe chain-drinker...ukinywa kwa kiasi (chupa 2 kwa siku) haikuzuii kumcha Mungu