IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,741
- 8,185
Hili ni tangazo la biasharaaaa au unataka na sisi wanaume wengine tueleze tupendayo??
Hebu tiririka vyako hapa wakwetu.
Hili ni tangazo la biasharaaaa au unataka na sisi wanaume wengine tueleze tupendayo??
Hebu tiririka vyako hapa wakwetu.
siku hizi wanaume wengi wanaowa big bambino akaa kopo kubwa -ukiwa na kopo kubwa hata kama ni mbaya utapata mume tu hahaahaaahah the above mentioned ni mbwembwe tu
Ina maana unaoa elimu au unaoa binadam? Kazi unayo! Kwa kuangalia elimu!
ni kweli kabisa,lakin tatizo hilo linaisha tu mara baada ya pombe kuisha kichwani (hypothalamus inapoanza kufanya kazi tena). so sio ishu sana. labda uwe cha pombe masaa yote.hiyo ya pombe mkuu mi big NO hata kiafya sio nzur mana inazuia reabsorption of water through inhibition of antidiuretic hormone na hivyo kupelekea upungufu wa maji mwili
Hebu fafanua kidogo sister maana ya big Bambino.
Mkuu mimi nishaoa sasa sijui kama kutakuwa na haja ya kufanya REMIX....
wanaume wengi wanaoa hiyo hapo nyuma![]()
Ukiwa unataka sifa zote hizo the vice ersa should be true...........
Sio unataka awe msafi wakati wewe kuoga kwenyewe mtihani
na ukichagua sana waweza kosa kabisa au kumpata asie
na tabia tajwa
Kwani wewe hauchagui...mmmmmmmmh?
Ni sichagui cos I already hae one
Sijui yule aliyeomba umpeleke chooni naye ana sifa zote hizi?!
Muulize Amicus Curiae
kwani huyo haukumchagua_mmmmmh
I was not that selective........,
Sijui yule aliyeomba umpeleke chooni naye ana sifa zote hizi?!