Wanaume wengi tunaoa wanawake wenye sifa hizi

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
5,352
Reaction score
7,662
MUONEKANO- Awe mzuri wa kawaida tu, kwani naamini binadamu wote ni wazuri sema tunazidiana kwenye maeneo flaniflani, ila tuwe na uwiano kwenye height

AWE MCHA MUNGU- Apende kusali, hata kama hatokwenda kanisani mara zote, angalau aende mara mojamoja basi

ASILI- Sichagui kabila ila naomba tu asiwe MMACHAME (usiniulize kwanini)

USAFI- Awe msafi wa ndani na nje, anukie vizuri wakati wote, sio anuke janaba!!!

ELIMU- Awe na elimu ya kuanzia degree, form 6 anaweza kufikiriwa pia ila kama ana dhamira ya dhati ya kutaka kujiendeleza kielimu

ASIWE TOO DEMANDIND- Yani akitaka jambo lake eti ni lazima liwe, tena kwa wakati alioupanga yeye

TABIA- Asiwe na gubu, akihisi nimemkosea aniulize ili apate ufafanuzi, sio alipize

UPENDO- Anipende kwa dhati, mimi pamoja na ndugu zangu esp baba na mama mkwe wake

ASINIZUIE KUNYWA POMBE- Sio lazima ninywee bar, naweza nikanunua kakreti kangu nikawa nakatwanga nyumbani

UBUNIFU- Awe mbunifu kwa kuchangia mawazo on how to utilize the resources available ili tujistabilize kimaisha

AONYESHE DALILI ZA KUTAKA KUNISAIDIA NINAPOKWAMA- Huu ni msaada wa kimawazo au hata material things kama fedha (yaani asiwe bahili)

MIMI NADHANI WANAUME TULIO WENGI TUNAPENDA SIFA HIZI, KAMA TUTAPISHANA BASI NI KWENYE MAENEO MACHACHE SANA, AU MNASEMAJE MASELA....
 
Ina maana unaoa elimu au unaoa binadam? Kazi unayo! Kwa kuangalia elimu! Na hakuna mwenye elimu hyo atakayekubali wewe uwe juu yake vingnevyo itakua maigzo.
 
MUONEKANO- Awe mzuri wa kawaida tu, kwani naamini binadamu wote ni wazuri sema tunazidiana kwenye maeneo flaniflani, ila tuwe na uwiano kwenye height

AWE MCHA MUNGU- Apende kusali, hata kama hatokwenda kanisani mara zote, angalau aende mara mojamoja basi

ASILI- Sichagui kabila ila naomba tu asiwe MMACHAME (usiniulize kwanini)

USAFI- Awe msafi wa ndani na nje, anukie vizuri wakati wote, sio anuke janaba!!!

ELIMU- Awe na elimu ya kuanzia degree, form 6 anaweza kufikiriwa pia ila kama ana dhamira ya dhati ya kutaka kujiendeleza kielimu

ASIWE TOO DEMANDIND- Yani akitaka jambo lake eti ni lazima liwe, tena kwa wakati alioupanga yeye

TABIA- Asiwe na gubu, akihisi nimemkosea aniulize ili apate ufafanuzi, sio alipize

UPENDO- Anipende kwa dhati, mimi pamoja na ndugu zangu esp baba na mama mkwe wake

ASINIZUIE KUNYWA POMBE- Sio lazima ninywee bar, naweza nikanunua kakreti kangu nikawa nakatwanga nyumbani

UBUNIFU- Awe mbunifu kwa kuchangia mawazo on how to utilize the resources available ili tujistabilize kimaisha

AONYESHE DALILI ZA KUTAKA KUNISAIDIA NINAPOKWAMA- Huu ni msaada wa kimawazo au hata material things kama fedha (yaani asiwe bahili)

MIMI NADHANI WANAUME TULIO WENGI TUNAPENDA SIFA HIZI, KAMA TUTAPISHANA BASI NI KWENYE MAENEO MACHACHE SANA, AU MNASEMAJE MASELA....

Yeah_hapo kwenye blue pana matter sana mkuu,..mtu amekukuta unapiga zako ndovu...siku si nyingi analeta za kuleta eti uache pombe kwa kudai visingizio kibao mara oooh..inamaliza hela_kwani kuna kitu kimekwama(hapana),..inakusababishia tabia mbaya kama umalaya_kwani umewahi kunifumania(hapana)...itakusababishia magongwa_kwani ninaumwa(hapana)...mimi nimegoma kuacha.
 
ni kweli jamaa, lakn mkweli na mwaminifu ndo kila kitu!
 
Go on kupenda wa namna hiyo, nasi tuna wetu tunaowapenda; so tusubiri nani atagive up some of those conditions.
By the way, are you available nianze kukutongoza?????
avatar123352_2.gif
 
Yeah_hapo kwenye blue pana matter sana mkuu,..mtu amekukuta unapiga zako ndovu...siku si nyingi analeta za kuleta eti uache pombe kwa kudai visingizio kibao mara oooh..inamaliza hela_kwani kuna kitu kimekwama(hapana),..inakusababishia tabia mbaya kama umalaya_kwani umewahi kunifumania(hapana)...itakusababishia magongwa_kwani ninaumwa(hapana)...mimi nimegoma kuacha.
Siku zote nakupigia mahesabu, lakini kwa hili na ulabu nimenawa kabisaa.
 
hiyo ya pombe mkuu mi big NO hata kiafya sio nzur mana inazuia reabsorption of water through inhibition of antidiuretic hormone na hivyo kupelekea upungufu wa maji mwili
 
Hili ni tangazo la biasharaaaa au unataka na sisi wanaume wengine tueleze tupendayo kwa wanawake??
 
hiyo ya pombe mkuu mi big NO hata kiafya sio nzur mana inazuia reabsorption of water through inhibition of antidiuretic hormone na hivyo kupelekea upungufu wa maji mwili

Hayo materm magumu ndio yanakutisha mkuu_hamna kitu hapo,..watu tunapiga maji hatujui tumeanza lini(tumejikuta tunakua huku tunakunywa) lakn mpaka sasa hata maralia zinatuogopa...niko above 50 yrs now...ahahahahahahaaaa
 
siku hizi wanaume wengi wanaowa big bambino akaa kopo kubwa -ukiwa na kopo kubwa hata kama ni mbaya utapata mume tu hahaahaaahah the above mentioned ni mbwembwe tu
 
Back
Top Bottom