be the first to reply
nimegundua hilomada ni nzuri ila itakonda kwa kukosa wachangiaji kwakuwa humu watu hawataki vitu vya kufikirisha ubongo wanataka kuchill wacheke wapunguze stress za maisha
Haraka mbele busara nyuma zilimponza mr mendee kugeuka miguun juun kabla ya kufaa
Aisee kwa nini umeamua kujiita BwaNCHUCHU? Hukudhani kwamba italeta mambo ya mistaken identity?
Manake mapema leo ulisababisha watu wakaanza kupigana na upepo....
Ha ha ha ha, mistaken identity?
wanaume wengi wanazani kuwa siriaz ndo unatengeneza heshima kumbe hakuna,inaboa miwanaume inayomchukulia msichana kama kiumbe dhaifu tu
Aisee kwa nini umeamua kujiita BwaNCHUCHU? Hukudhani kwamba italeta mambo ya mistaken identity?
Manake mapema leo ulisababisha watu wakaanza kupigana na upepo....
Hata mimi amenichanganya..nilijua ndo yule tuliyemzoea
Hata mimi amenichanganya..nilijua ndo yule tuliyemzoea
Hata mimi amenichanganya..nilijua ndo yule tuliyemzoea
Here I am.
See the difference?
Mkuu wanaboa sana hawa watuKaka mkubwa kuna hii wimbi ya mtu kuibadili username ya mtu kwa kuweka madoido yake tu sijui wana enjoy nini kuna mmoja humu naye boss nini sijui!!!!!
Mkuu wanaboa sana hawa watu