Wanaume wengi hupenda baadae

Wanaume wengi hupenda baadae

na mwisho wa siku anajikuta ana combo ya kuanzia muuza nyanya, konductor, muosha magari. muumini mwenzake. houseboy, mleta maziwa, mfanyakazi mwenzake, pastor/maalim wake, shemeji yake, muuza duka, mlinzi wa getini, mtunza bustani...etc etc etc ...and very little to show for all her troubles..mainly mwili uliochoka kwa kutumika na kila sample ya mwanamme, widened cunt na gaping end-of-alimentary canal hole!!!...na all the while haombi talaka kwa nini wakati she is after what life can offer?

Ndiyo maana yake kuwa kila atakaye sifia na kufake mahaba atapewa mchezo. Maana kigezo itakuwa ni kusifia na kusherehesha. Kazi rahisi sana kwa marioo au gigolo wa leo. Always short cut is easy.
 
Angejipa mimba ingekuwa wake mwenyewe, jukumu ni la wote lkn wanaume wengi hawashiriki sana kwenye malezi ya awali ya watoto. Kwa hiyo wakati unampa mimba bado ulikuwa unatafuta sababu za kumpenda?

Kama ni wajibu wake tu na anastahili kusimamisha mipango yake na sio jambo la maana, basi usingekuwa unampenda mzazi wako wa kike maana atakuwa hajafanya la tofauti maana unaona ni wajibu tu, una uhakika mzazi wako wa kiume alijitoa kiasi gani?

Ni wakati wanaume muone wanawake ni watu sio mashine, eti utampenda baadae khaaa limekuwa gari hilo mpaka linakuwa screpa ndo unasema limeenda sana hili gari...seriously! ?

Women need to be loved, kama humpendi mwache sio kumtesa binti wa watu kumahidi mambo kede kede uje umtese eti utampenda akifanya hiyo nini...na nini eti ni trial period sasa

Its true that they need to be loved but problem is they don't know what they want...Ukiwapenda wanaku manipulate PesaNdogo
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke kwa sababu huwa anampenda mtu kweli, anaweza hata kuahirisha mipango yake ya maisha kuaccomodate uhusiano, mf. Wengine wamepoteza masomo yao, wamezaa nje ya mpango wao hivyo kulazimika kuacha mambo mengine walee watoto kumbe mwanaume bado hajaanza kumpenda. Unajua majeraha ya moyoni ya mwanamke anayopata kwa kuvumilia uhusiano usio na upendo, ni hasara maana maisha yake hayatakuwa kama ulivyomkuta.

Mwanaume unaweza kuishi na mwanamke ukasema wewe haujamuoa mmezaa tu na ukaamua kuishi kama upo single,
Mkiachana huna mimba wewe na jamii haikushangai ila unajua jamii Inamuangaliaje mwanamke uliemwacha na anajisikiaje kupoteza opurtunity ambazo angepata ila alisacrifice kwa ajili ya uhusiano.

Unajua mama yako alimvumilia mambo mangapi mzazi wako wa kiume, wanawake wanaingia gharama kubwa kihisia ukiachia kimaisha hlf unasema hawajapoteza kitu.Ubinafsi wa wanaume ndo unaokusukuma kuwadanganya wanawake waendelee kutoa bila kupokea upendo.
So kupoteza kwa mwanamke kupo kwenye muda na kuvurugika kwa mipango yake................lakini pia wanaume mipango yao huyumba na kuvurugika vilevile wanapokuwa au kutoka kwenye uhusiano.Lakini suala la ubinafsi hata wanawake wanalo sana,hujiangalia wao kama wao,haya yapo tunayaona.Kwa maelezo yako ya hapo juu,unamchora mwanamke kama malaika,mtu anayetendewa uovu na mwanaume,yaani yeye yupo safi,hamfanyii baya lolote mwanaume.Jamani wanaume huwekeza,tena huwekeza vitu viwili,HUWEKEZA MOYO NA PESA,je mwanaume anapopigwa chini na mwanamke huwa hajapoteza?je mwanamke anapoamua kuolewa na mtu mwingine akamuacha jamaa inakuwaje?yote kwa yote mwanamke ana nafasi kubwa ya kuendelea na uhusiano mwingine,maana yeye ndo decision maker,akitongozwa ndo huweka green light.
#Mkorosho
 
Back
Top Bottom