Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,935
Ni kweli bro......unakuta mwanzoni ulikua hum feel chochote sumtyms unamjibu vibaya sabab unakua umevimba kichwa kujua anakupenda. But yeye unakuta anakaa kimya na kuvumilia tu. Alaf unakuta later on hakutamkii tena kwamba anakupenda nd stuff like that ila kuna vitu flan anakua anakufanyia kuonyesha upendo wa dhati kwako. Honestly kuna siku machozi yalintoka nika apologise kwake of all the things i ever did to her.
Sumtyms mtu akikukosea usikimbilie kulipa ubaya ni vyema kujifunza kuumia ndani na kuendelea na wema tu. Trust me kuna siku atakujia na magoti.
Vipi? Uko nae mkuu?