Mbona unapagawa hivyo, kwasababu time huwa haifidiwi ndo maana nimeuliza. Unakuwa umeyasimamisha maisha ya mtu, kuna mambo ya maana ambayo angefanya kama usingekuwepo na wengine mmewazalisha kabisa. Mtaendelea kuchunwa mkidhani wanasubiri kupenda
na wakati anakupotezea muda yeye calender yake inakuwa imeweka pause?..sasa hapo tusilalamikiane ..you get "mchuno" unaoutaka na we get what we want from you...ngoma draw!!! sahau any shit about kuzalishana (kwani mimba tunawawekea kwa mono?) na kupotezeana muda
na kama mnafurahi kuchuna lazima mjue kitu kinachozalisha faida huwa ni asset..na assets zipo subject to depreciation..things like wear and tear nk..so mimba, kuzaa, papuchi kugeuka uchochoro, maziwa kuwa saa 12 jioni, hips kuspread kama zinamwagika, kuwa na mitumbo inayofunika waistband za suruali nk ni mifano ya depreciation zenu!!!