Nimekusoma post zako, you are real GT.
sio heading yangu...mimi ni mchangiaji sio mleta mada...so hakuna mahali ambapo nimesupport ishu ya wanaume kupenda baadae
Mimi nilimpenda my first boyfriend blindly,kufanya na kupata mimba cku hyohyo,nikiwa form3,yy form,4 kwa mapenzi ckumtaja ili akasome kwn alifaulu,tnx God na mm nilikuwa darasani nategemewa ckufukuzwa nilipojifungua nikarurdi shule miaka hyo ya tisin,
but promise zote ziliyeyuka alipopata kazi asinitafute,mana wazazi walinitimua akamsomesha mwanamke mwingine,so wanaume hawapendi,wanatamani,tu kupenda hadi waongezewe chaji kidogo
Majibu yako yamesapoti hicho kichwa, labda kama sijui kusoma vizuri. Capt nimo au finding nimo. Pole na samahani kwa kusema ni heading yako
Kwanza wanawake wanajito sana,wanakubadilisha kwenye future nzuri,mf mzuri,penny kamtafutia diamond mwl wa kiingereza,wema alikuwa akimsaidia kupractice ili awe na mafanikio zaidi,lkn ametumia hyo lugha kumtongozea zari,ukweli unabaki wanaume hawana mapenzi wala shukrani hata akuzalishe ni mwepec kusahau mema yako,uliyempenda hutakubali aumie
thanks mkuu..tunajaribu kuchangia mawazo
Kuna mahali nadhani kapanic akaingiza ishu ya mzazi, umestay Calm, nimependa sana. Huyu dada kupitia maelezo yake either kapitia hiyo kuachwa au mtu wake wa karibu.
...relax...too uptight!Mi nilipotaja kuchuna sikusema anawachuna watu wangapi mind u, niliongelea neno uhusiano sio mahusiano. Tunajuaje na mama ako alikuwa na nani kabla ya baba ako, mnapenda kuwasema wanawake hovyo utadhani mama zenu na dada zenu sio wanawake.
Kuchakaa kwa mwanamke ni kuchakaa tu kama ulivyosema maana haujaspecify. Umesema 'wanawake' wana wear and tear
...relax...too uptight!
na tusipende kutumia mema tunayomfanyia mtu kumfunga hata kama we ourselves are going astray!!! Najua unaujua uchafu wote wa Wema na Penny (including kuchoropoa mimba za mshikaji bila hata kumhusisha) kama unasuggest kuwa Diamond angetulia na kuyapigia makofi maovu yao basi u better think again..For Chrissake, Wema was fucking ever guy in her sight wakati yupo na Diamond!!!
...super!Tumeshamaliza besti
Naomba unielewe mkuu,wadada walifikiria future ya jamaa pamoja na utoto wa mrengo wa maisha yao,hebu tuulize yeye aliwafanyia nn ili tumsifu,kawakuta maarufu,ingawa 4 his happiness anauhusiano ulotulia thats gud 4 him
mm ni sngle mama wa mtt wa kiume so najua na namsapot dogo,ila kwa mada hii wa dada wameplay part ya upendo wa kitu kisichoharibika,so wanaume wanatamaa tu,kupenda ni wanawake
sio rahisi kusema kawafanyia nini ila naamini they gained something..be it materially au emotionally (in bed for example) otherwise wasingestuck with him for so long...thumbs up for taking care of your boy
Ha ha ha nimecheka sana,yeye ndo kagain sana,kwani katembea na the most famous women s in tz,akiwemo wema naw anatembea na the most famous woman in east and south Africa,
nahic anatafuta the most famous woman ni Africa utakuja nambia humu humu ,any way back kwenye mada hii ni mifano halisi na entertainment tu,ila kiukweli wanaume hawana mapenzi wanaongozwa na tamaa ndo mana bishara ya dada poa haiishi.
daaa hyo imenitokea sana kuna dem flan hvi mwanzon sikumkubali na nlikua simuelew kabisaa ila baada ya kunisumbua kwa mda mrefu nikajikuta namkubali mbaya hata sjui kwanin
Alola
Unatudanganya kutetea tamaa za wanaume ili watu wakubali mahusiano yasiyo na upendo. Je ikitokea mpk hiyo baadae huyo bwana hampendi mwanamke atamlipaje fidia ya muda aliompotezea?
Upendo wa kweli hauhesabu mabaya. Siyo kamali kwamba kuna kula na kuliwa. Ni kujitoa na mengine ni majaaliwa.