Ndiyo maombi yake yanajibiwa mkuu hehehe.....yaani ukianza kufikiria uvumilivu na mapenzi aliyokupa unaanza kumuona kuwa ni mmoja wa wachache sana ambao usingependa kumuacha aende zake.daaa hyo imenitokea sana kuna dem flan hvi mwanzon sikumkubali na nlikua simuelew kabisaa ila baada ya kunisumbua kwa mda mrefu nikajikuta namkubali mbaya hata sjui kwanin
kipind hcho nlikua na dem mwingne nlikua hata simuwaz kabisaaa ila ghafla tu vitu vilibadilikaNdiyo maombi yake yanajibiwa mkuu hehehe.....yaani ukianza kufikiria uvumilivu na mapenzi aliyokupa unaanza kumuona kuwa ni mmoja wa wachache sana ambao usingependa kumuacha aende zake.
Before sijaoa,i was dreaming kuoa mwanamke atakaemfanana mama yangu kitabia,but siku zote huwezi kupata mwenzi ambae ni perfect kama na wewe ulivyo na mapungufu ingawa wengi hatujitambui,soltn ni kuvumiliana na kuchukuliana mapungufu yenu kama changamoto ya maisha,usione wazazi wetu wanafanya sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya ndoa zao ukadhani mchezo.mfano kesho wazazi wangu nashukuru Mungu wapo wote wanatimiza miaka 50 ya ndoa yao najiuliza how about me?:what::what::what::what:
Kila Mara huwa nasema wanawake wana nguvu kubwa ya kuweka mahusiano yawe ya furaha kwa nafasi zao. Bahati mbaya wao wanakimbilia kwenye usawa tu. Kadiri wanavyodai usawa ndiyo mahusiano yanavyozidi kuvunjika
Your so junior to know this ukikua utaelewa pole sana mkuu
Unatudanganya kutetea tamaa za wanaume ili watu wakubali mahusiano yasiyo na upendo. Je ikitokea mpk hiyo baadae huyo bwana hampendi mwanamke atamlipaje fidia ya muda aliompotezea?
ningeshangaa asingetokea mtu kama wewe kuleta maoni kama haya..na unajua nini? ,,kuna neno umeliweka ambalo ndo msingi wa matatizo yenu..."fidia"..mnaingia katika mahusiano mkiwa mnawaza malipo na fidia..sometimes heartbreak ndo fidia iliyo halali kwenu