Wanaume wembamba (vimbaumbau) wanapenda sana kuoa wanawake wanene?

Wanaume wembamba (vimbaumbau) wanapenda sana kuoa wanawake wanene?

Na wafupi wanapenda wanawake warefu.
Mi demu mrefu hajawahi kunitongoza ila wafupi sasa anakomaa na hana Aibu in short Wafupi sometimes hawana Aibu nakumbuka Mara kwanza duuuu Basi tena ikabidi tu ndo wawe my choice Ila Natamani sana Demu mrefu ila huwa sidumu nao na Huwa wako over confidence
 
Waref ndo dili kwenye ile xtyl ya mbuz kagoma kwenda
 
Unapenda unachokikosa,wasio na hela wanapenda wenye hela,wembamba wanapenda wanene,wafupi wanapenda warefu,weupe wanapenda weusi,ndo maana mapenzi yanaumiza lakini hatuyaachi kwa sababu hayaeleweki.
 
Nasikitika uzi mzima hamna picha za mfano..
1474626505392.jpg
 
Ila vianaume vembamba HUWA VINA BEBA MZIGO balaa! tango si tango, bilinganya si bilinganya, ndizi Bukoba si ndizi Bukoba, Chupa ya Castle lite
 
Back
Top Bottom