SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,616
- 7,863
Tatizo la sie tunaojua kupika tunatend kuweka expectation kubwa zaidi kutoka kwa mwanamke! So mwanamke (mke) 'akikosea' kidogo tu kwenye mapishi, keshakuboa!Hata mimi sijui, ila nadhani kama mwanaume anajua kupika hawezi kuwa fussy kama wale wasiojua.Mwenye kujua kupika most probably hatazinguka sana na "mapishi" ya nje maana hata yeye ajua kupika!Ngoja tusikie watakaojibu wanasemaje.