Wanaume Watakiwa Kukaa Wakiwa Wanakojoa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume Watakiwa Kukaa Wakiwa Wanakojoa!!

Discussion in 'JF Doctor' started by Elisha Ray, Aug 27, 2012.

 1. Elisha Ray

  Elisha Ray JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 302
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wakuu, hii ni ya Taiwan kwamba wanataka kupitisha sheria kuwa na wanaume nao wawe wanakaa wakati wanakojoa. Kama tujuavyo wanaume wakiwa wanakojoa huwa kuna matone ya mkojo ambayo hurukia kwenye kingo za choo mpaka pale pa kukalia na most of the time hawafuti choo maana hata ukiflash bado yanakuwepo. Sasa yale matone baada ya muda hutengeneza vijidudu ambavyo vinasababisha U.T.I na magonjwa mengine ya namna hiyo kwa wanawake kwani kutokana na maumbile yao huwa rahisi kwao kushambuliwa kama nao hawasafishi/hawafuti choo kabla ya kutumia (katika public toilets au nyumba zenye wakaka wasiosafisha vyoo baada ya kutumia). Sasa na hii sitashangaa ikija bongo na mie siko tayari kukaa ili nikojoe wakati naweza kukamua nimesimama... Wajameni kwa wale wasio na tabia ya kufuta choo baada ya kukojoa badilikeni kuweni wasafi basi ili hii kadhia isije kwetu eeenh???? Tuwapende mama/dada/wake zetu basi na kwenye afya zao pia!!!! Ni rahisi tu, ukikojoa futa zile kingo then flash... Hii mambo ya kuambiwa mke/mama/dada/mtoto ana UTI haipendezi halafu kumbe wewe mume/baba/kaka ndo chanzo!!!!
   
 2. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  kwa waislam popote walipo dunian hii n common.unajua hii dini bana hua haiachi kitu.baadae wanadamu na akili zao mgando ndio wanakuja kufaham.hahahaha...
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  owkay . . . . .
   
 4. ZENITH

  ZENITH JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 732
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 60
  Sikai hata kwa bakora!
   
 5. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  i thought kila mahali duniani wanaume wana toilets zao na wanawake zao,kumbe kuna sehemu bado kuna sharing,haya wakaka mjirekebishe je wataweka camera chooni kuhakikisha hili?
   
 6. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Aisee itasaidia wataacha kukojoa ovyo kama ilivyo tabia hii kwa wanaume wengi
   
 7. s

  silent lion JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 538
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Nashukuru kwa kuzaliwa Muislam kwani dini yangu ilishanifundisha kitambo kua kusimama wakati wa kukojoa si jambo jema.
   
 8. vaikojoel

  vaikojoel JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 2,026
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  james cameron ana mkono wake katika serikani ya taiwan????
   
 9. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Mi huwa nawaonea huruma tu wanawake wanaotumia vile vyoo vyetu vya uma. Hasa vyenye sink refu kwenda juu, maana hayo makojo yanayomwagika pale juu. Mi huwa sinyi kwenye vile vyoo.
   
 10. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli hii tabia mbaya ya kuacha mikojo juu imejaa maofisini!!
  Tabia inakera sana,unaingia toilet unakuta mkaka aliyetoka ameacha ramani!majority sio wapenzi wa kunywa maji mara kwa mara,hivyo unakuta ramani za njano kwenye choo cha kukaa!!kwa style hii wanawake wataacha kupata U.T.I?
   
 11. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Mkuu hata kama choo ni cha wanaume peke yao,wao hawasikii kinyaa kila saa kutazama mikojo ya wenzao?
  Inakuwaje wakati wa kukata gogo?Ninavyoelewa itamlazimu kukaa na sio kusimama!!!
  Usafi ni kitu cha kistaarabu sana,kila mtu anatakiwa kuelewa!!
   
 12. A

  August JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,510
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  ukiwa unatumia vyoo vya kisasa napo wakaa? au wachutama?
   
 13. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Mbona hii haina shda,kukaa tu!c ndo kuchuchumaa bwana,hyo cmpo.Najifanya nakata gogo kwisha habari.
  Au?
   
 14. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #14
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Al Islaam nadhif ! upo ushahidi wa kisayansi kuwa ukikojoa umesimama unaweza kuanguka na ukazimia !
   
 15. c

  chief72 JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 567
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  nabii Muhammmad(S.A.W) alishatangaza tokea karne ya 7,
  si hilo tu lakiafya na mengine kibao
   
 16. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  itabidii serikali dhaifu wamtumie kova ili wawaogopeshe watu baada ya sheria hiyo kutungwa TANZANIA ; nna fikiri wakitumia tuu mahakama ya kisutu haitatosha kwakuwa watu watatoa rushwa kama karanga.
   
 17. Elisha Ray

  Elisha Ray JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 302
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Suala la usafi halina dini na wala sidhani kama ni relevant hapa. Ishu ni mtu binafsi kuwa msafi maana wapo watu kibao wanakojoa hovyo wa 'dini' zote.. Wewe kama ni msafi ni msafi tu na kama ni msafi nusu nusu ndo hivo tena. Inaudhi sana pale unapomuona mtu very smart katoka chooni na wewe unapoingia unakuta mikojo yake kila kona wakati choo kilikuwa kisafi na sio kama alikuwa amelewa!!! Sio kama najifagilia ila mimi hufuta nikimaliza (nilikuwa sifuti enzi hizoo) na hii ni baada ya wife kunichimba mkwara kwamba akipata UTI patakuwa hapakaliki so toka siku hiyo nafuta popote pale niendapo na inapendeza sana. USAFI MUHIMU popote ulipo...
   
 18. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kwamba?....
   
 19. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mh!
  ili nalo linaihusu sisiem eeh?
   
 20. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  teh teh teh....kwanini mtu analazimishwa kufanya asichotaka?
   
Loading...