NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,397
- Thread starter
-
- #61
Apana sijamwambia na sito mwambia,ni bora niache kazi nitafute kwengine,manake siunajua wanaume alishanikataza kufanya kazi sasa nikimwambia ndio atapata lakusema na kufanya kazi ndio kumeishia hapo na bado nahitaji kufanya kazi...hivi tangu aanze kukusumbua, umeshamwambia mumeo...?
Wallah na wish ningekua na ujasiri kama wako mie ikizidi nalia nashukuru mungu...Heri yako.
Mie siumizwi kichwa na upumbavu wa mtu,namstahi anayejistahi tu!
Mwanamke tena mtu mzima.ila sijui anakuwaje nashindwa kumuelewa.....Huyo boss wako ni ME au KE? anakuambia umchune ukiona ivyo nae kunafaida aipata kupitia huyo baba ndomana akung'ang'aniza tu hapo
mkuu kama ningekua nataka wala nisinge kuja kuomba ushauri hapa,nimesha chukua 2weeks leave nafikiria na kuomba ushauri hapa nikutaka kuchagia fikra lakini jibu nnaloliona kwangu jepesi nikuacha kazi nakutafuta kwengine..huyu dada ni kama hana maamuzi, sioni kinachokufanya uwe na kiwewe hivyo, sijui hawezi kumkatalia mwanaume au ni wale wa sitaki nataka??? hapa anapima tu upepo
Apana nimerudisha na yule driver aloleta na nikamwambia asante .
Mwanamke tena mtu mzima.ila sijui anakuwaje nashindwa kumuelewa.....
Nime block number yake kwenye cm yangu ndio akaleta hiyo simu yake akasema eti anataka akipiga nipokee na ntakupa raha hujawahi kupewa yani sikufichi nilitetemeka yani babu kama yule haoni aibu raha gani anazozijua yeye?Safi sana unakaribia kulishinda hilo jaribu. Siku nyingine akikuongelesha ujinga mjibu kwa ukali tens bila tabasam.
mkuu kama ningekua nataka wala nisinge kuja kuomba ushauri hapa,nimesha chukua 2weeks leave nafikiria na kuomba ushauri hapa nikutaka kuchagia fikra lakini jibu nnaloliona kwangu jepesi nikuacha kazi nakutafuta kwengine..
Ni Mama mtu mzima nimefikiria niende nyumbani kwake nikasita asije muita yule babu nikamkuta huko,nikisema issue niipeleke HR wataniona waaajabu,sasa nangoja weekend hii nimuombe aje nyumbani Boss wangu nimweleze kama hakunilewa basi naacha kazi..Kumbe mwanamke mmmmmmmmnh huyo mchane makavu laivu na tena siku mkiwa na kikao cha wafanyakazi toa hilo dukuduku lako labda ndo ataelewa utaki ujinga, kama ulishamwambia kiustaarabu hajataka kukelewa.
Nime block number yake kwenye cm yangu ndio akaleta hiyo simu yake akasema eti anataka akipiga nipokee na ntakupa raha hujawahi kupewa yani sikufichi nilitetemeka yani babu kama yule haoni aibu raha gani anazozijua yeye?
Apana nimerudisha na yule driver aloleta na nikamwambia asante .
Msimamo nnao Mkuu lakini sitaki kua kituko watu wote wajue niwe Talk of the Office, nachukulia pole pole manake yeye ndio sababau boss wangu sasa namtuma yeye akamwambia muharibifu mwenzie kua SIMTAKI na sitaki kufanya kazi zake amtume yoyote sawa lakini sio mimi....na huko kwingine ukitongozwa? nako unaacha kazi unatafuta kwingine, teh teh teh basi kazi unayo!!
Achana na mawazo ya kuacha kazi sababu ya huyo babu, mwanamke kutongozwa suna!! we kuwa na msimamo unaoeleweka, kama unamaanisha No kweli, basi iwe No ya vitendo, siyo ya kung'atang'ata vidole!!
Asipokee tena??????????
binadamu wote sio sawa Mkuu wako walozowea zogo na wengine hatuja zowea..ooooh!!!! unaomba ushauri wa nini???? kama humtaki usiseme kwa maneno na vitendo pia
wallah naona dhiki,lakini inshallah yatakwisha.........Ukisikia majaribu ndo hayo lol.. Uzuri wake ni kwamba ukiyashinda hilo jaribu utajisikia amani sana moyoni mwako..
Kama ungejua inavyoniuma wallah usinge nambia hivo, najua nikimwambia la kwanza atasema jee sijakwambia wacha kazi? na hapo ndio itakua mwisho wa mimi kufanya kazi na silitaki hilo hata kulisikia kwa sababu moja tuu sipendi kuomba ndio ni mumewangu nampenda na haninyimi chochote lakini kuna leo na kesho yeye nibinadamu..Inaonyesha wewe si muwazi kwa mumeo, kama kweli unampenda mwenzio basi ilipaswa umuelezeee jambo linalokusibu kwa kina kisha yeye kama Mume atalishughulikia ipasavyo! Mumeo ndio kinga yako na ndiye atakaye kuhami na maadui kama huyo Mzee.