yaani wanamme wa ukweli wanazidi kupungua
Mwanaume akiwa zuzu wa kuhonga,basi atasifiwa huyo mara ooh ur ver hendsamyaani wanamme wa ukweli wanazidi kupungua
Huwezi kupinga ukweli kwa hoja nyepesi kama hizi,ukweli unabaki pale pale wanawake walio enda shule kidogo ni
matatizo linapofika suala ya kuoa,ni mizigo ni mizigo!!hata 6x6 ni mizigo khaa!!
Lisa ile kitu hata kama ni ndogo kama sindano ikiingia tu panapo ikulu lazima utajifeelila nyinyi mnapokuwa na something ndogo kama kijiko cha cha na mnatakiwa kukoroga pipa la maharage mnashindwa sisi mbona hatulalamiki? iweje nyinyi mnatuona mizigo ktk 6 x 6 . ondoeni vibanzi kwenye macho yenu halafu ndiyo mje muondoe boliti usoni mwetu.
Lisa ile kitu hata kama ni ndogo kama sindano ikiingia tu panapo ikulu lazima utajifeel
differently,by the way ni jinsi tu ya kucheza na mamsap wako hata kama una kibamia ataisoma namba!!
Hakuna lolote raha ya ngoma ni mdundo kaka ndiyo unaoamsha mzuka.
Eti mwanaume mrembo yukoje?
ila nyinyi mnapokuwa na something ndogo kama kijiko cha cha na mnatakiwa kukoroga pipa la maharage mnashindwa sisi mbona hatulalamiki? iweje nyinyi mnatuona mizigo ktk 6 x 6 . ondoeni vibanzi kwenye macho yenu halafu ndiyo mje muondoe boliti usoni mwetu.