Wanaume wapole hawana bahati

Unaongelea wanawake au wasichana?
 
umechanganya madesa.
 
Napenda mwanaume simple,mpole na asikua mcharuko.... hao micharuko wanapata micharuko wenzao
 
Reactions: BAK
Ah kumbe ni hawana bahati za kupata wanawake tu? Nilisha anza kujiogopa!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
....kumbe ndio maana sipati mbunye...mwaka wa saba huu...
ngoja nianze kuchangamka....na...mimi kudadeki....
 
mwanaume akiwa mpole naona gragh ya mvuto nayo inashuka anakuwa kama zuzu upole mwachie kobe bana....
 
wanawake wana relate uchangamfu wa mtu...na utendaji kazi wake jambo ambalo haliusiani hata kidogo....watu wapo tupo cool lakini kwenye mambo yetu...sisemi..
 
Inamaana ulinichunguza tabia yangu ya upole ukaamua kuja kunitangaza humu?.
 
Aaah sio kweli kijana mm mbona mpole na gift niliyopewa na mungu ndio bahat yangu wanawake wanaojistahi wanapanga foleni na kuwa gumzo kila ninapoishi sio kweli kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…