Wanaume wapi tumebugi

Hapo tu kwenye kulamba papuchi kama mbuzi naweka nukta.
 
Ni mfumo wa maisha hasa ulaji umeathiri sana maisha ya mwanaune kiasi kwamba kumekua na wimbi kubwa la wanaume wenye matatizo ya afya ya uzazi...
 
Nadhani ni suala la utandawazi tu, ndio limetuvaa vibaya watanzania wote, wanaume kwa wanawake. Wanaume tumeathirika zaidi na suala la mitandao, huku na wanawake wameathirika zaidi na suala la empowerment programs zisizo na boundaries. Amini usiamini haya masuala ndio yameifikisha hii jamii hapa, nadhani watanzania wote kwa ujumla wetu, tunapaswa kutathimini upya mienendo yetu, kama bado tuna ndoto ya kuishi maisha bora hapa duniani.
 
Nimecheka sana mkuu
Utadhani mazuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…