wanaume,wanaume,mmmh!!!

Kama wewe umenipenda, ya nini kunidanganya bwana
Kujibandika madaraka siyo yako bwana weeeewe
Nimesikia tetesi kuwa huna lolote hata kazi huna eh
Unazurura mchana kutwa, kupita kurandaranda mitaani
kumbe hukuwa na uwezo wa kunioa, ila kuniharibia maisha

Nikuelewe vipi eh Babu ee
Uaminifu wako uko wapi ee papaaa............kina Karubandika walikuwepo toka enzi hizo, wapo wanaishi na wataendelea kuishi. Kuepuka kudandiwa ni bora kusugua magoti kwa sala upatiwe yule uliandikiwa. Haya yanatokana na maisha ya usasa kuwa nasi wanawake tunatakiwa kusearch yaani sio usubiri kama walivyokuwa wanafanyiwa wazee wetu zamani.......mtoto wa mzee anayefahamika vema ndie anakuja kuposa na kuoa ....
 
dada Mwasu kabla hujapitia haya huwezi kukomaa akili matatizo ndo huwa yanatufanya tujitambue sisi ni kina nani usiogope simama endelea na safari akija mwingine safari hii hatakubabaisha hata kidogo na itakuwa rahisi kusoma alama za nyakati
 
Hamjatulia na umapepe wenu
hivi kwanini wanaume huwa hawasemi ukweli jamani?anaweza akakutongoza na kukuonyesha anakupenda kabisa na akakufatilia kwa kila hali mpk ukaamini kuwa anakupenda,kumbe mwenzio anataka kupita tu ww ndo ukajiweka mazima moyo na mapafu pia.siku akikuchoka anakumwaga km hamjawahi kuwa watupu hata siku moja.kwanini lakini wanaume mpo hivyo?????????????????????????
 
Sio wote wako hivyo mama wengine tumetulia sana!
 
Lakini MJ1, huyu binti mpaka anasettle kama unavyosema, si atakuwa ameshatembea na msururu wa wanaume au??

Ndo ajifunze alama za nyakati bana ....umenikumbusha wimbo mmoja wa zamani zile uliimbwa na Sijui ni Mbaraka yule au nani sijui alikuwa na maana hii au nyingine. Ubeti wake ulikuwa unasema hivi;
Mimi mpita njia ohooo, sikukwambia ninalala
Tafadhali usitayarishe kitanda, nimekuja kukuona mara moja,
Hivi leo naondoka

Na TAnCut Almas nao waliimba siku hizi dunia imebadilika mapenzi hakuna........
 
hivi kwanini wanaume huwa hawasemi ukweli jamani?anaweza akakutongoza na kukuonyesha anakupenda kabisa na akakufatilia kwa kila hali mpk ukaamini kuwa anakupenda,kumbe mwenzio anataka kupita tu ww ndo ukajiweka mazima moyo na mapafu pia.siku akikuchoka anakumwaga km hamjawahi kuwa watupu hata siku moja.kwanini lakini wanaume mpo hivyo?????????????????????????
blanket statements

hivi nani anashikaga akili hadi kulalamika hivi after effect?
 
Dena my new friend.....unaweza nifafanulia uyeyushaji kwenye sita kwa sita unamaanisha nini?

Unakutana na kibamia (kidogo) hakikufikishi mahala pale kaka suluhisho ni kutimukia mbali aahhh Babu taratibu eehhh
 
hivi kwanini wanaume huwa hawasemi ukweli jamani?anaweza akakutongoza na kukuonyesha anakupenda kabisa na akakufatilia kwa kila hali mpk ukaamini kuwa anakupenda,kumbe mwenzio anataka kupita tu ww ndo ukajiweka mazima moyo na mapafu pia.siku akikuchoka anakumwaga km hamjawahi kuwa watupu hata siku moja.kwanini lakini wanaume mpo hivyo?????????????????????????

Bi mwasu hata mie huniamini, mimi mbona ni victim wa kudanganywa na hiyo jinsia yenu, Mwasu you have to know that men& women both are human beings possesing the same characteristics but different in in some if not many ways, and they behave humanly, remenber humman behaviours mama are not uniform,labda tu nikupe pole kwa yaliyokukuta, ila hata wanawake nao ni waongo, kifupi ni kuwa KIUMBE CHA MIGUU MIWILI C CHA KUKIWEKEA GUARANTEE( KIUMBE BIPEDAL NI MCHARUKO ALWAYS KEEP THAT IN MIND)
 
Lakini MJ1, huyu binti mpaka anasettle kama unavyosema, si atakuwa ameshatembea na msururu wa wanaume au??[/QUOTE

kuuliza huku si maana ya kuwa nishatembea na wanaume lukuki hapana ni vitu ambavyo vipo ingawa ishanitokea mara moja bt nina marafiki kibao pia washapata tatizo hili na ndo mana nikauliza,umenipata bacha nipo makini sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom