Wanaume wanasema wanawake warembo tunakwama wapi?

Nawewe unajieka kwenye warembo?

Au kama vipi lipia tangazo.. Maana warembo wako insta
 
una akili sana dada....
 
Kwanj wewe umekua mrembo tangu lini?
 
Nope jibu kwa fact, kujikubali na kuwa.mzuri ni vitu viwili tofauti.

Anyway. Ucjali.
Unataka fact ya picha? Mimi ni mzuri tena haswa. Yaani ni mzuri bila hata poda.
Nimejuaje? Kwasababu kioo hakinidanganyi.
 
Unataka fact ya picha? Mimi ni mzuri tena haswa. Yaani ni mzuri bila hata poda.
Nimejuaje? Kwasababu kioo hakinidanganyi.
Sawa dia sijakataa kwamba wewe sio mzuri ila dia ukiwa mzuri kuwa makini na kuweka Jf Uzi wa kutafuta wachumba (Uzi uko love connect) mababazi wa humu wanaharibu wasichana sio watu wazuri. Kuna mmoja yalimkuta alikuja kulia humu Jf.
 
Uzuri wa mkakasi kwa nje, ndani kipande cha mti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…