Wanaume wanapokuwa waongo...!

I also missed you guys. Ngoja nijifamilialaizi na yale yaliyotendeka nyuma yangu!

I hope sijapokonywa mume. LOL

Huwezi nyang'wanywa mme, alivyo mwaminifu

Kubembeleza ndoa, si unajua tena. Full kupretend kuwa unapenda kupika (wakati nimeshasau kupika hata tea masala), sijui kufua (yaani nimechubukaje mikono), gardening n.k!

Lkn pamoja na yote hayo, l have the feeling kuwa nimeshindwa! LOL

He he he he, ndoa imekuwa ndoana kabla ya kuanza??
Huwezi shindwa bana, unaonekana ni mtu unayejua utakacho na kwa gharama gani

Kongosho ushadanganya mara ngapi?
Hiyo ya kuda utachelewa kazini kwa sababu ya kazi nyingi inakuhusu sana...LOL
Dah, mie ni mtu nayependa kuwa home mapema sana, kabla jua halijazama nataka niwe home
Kama ninataka kufanya mazambi goli la timu yangu, bora nisafiri kabisa au muda wa kazi
Lakini mazambi? au na home nichelewe? Nope
 
Mimi si muongo!!! NASISITIZA NI UKWELI MPAKA ATOKEE MTU WA KUTHIBITISHA PASI SHAKA YOYOTE KUWA IM NOT!!!!! NA KUWA NILIMPA KIDUDE, ATOE NA SUPORTING EVIDENCE!!!! For the time being im queen virgin here!!! Hahaaaaaa! Unasonyaje kimya kimya!!!! LOL! FOR THE TIME BEING IM INOCENT UNTILL PROVEN GUILTY!!!! Hahahaaaaa! TRUST ME IM ENJOYING WHILE IT LASTS!!!!

Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Innocent until...................??????????????
wewe ndo lara1
 
A man is guilty until proven innocent. And yo prove the innnocence of a man, he should be burried 6feet under, and have stayed there for at least 10 consecutive years or else if he was burned into ash and thereof be disposed at an angry sea (to eliminate possibility of forensic investigation including dna)
©kingasti®
 
Ila mbona hata wanawake nao waongo? Tena ogopa mwanamke mwongo kuliko mwanaume mwongo.
 
Uongo ndio unakua ukweli na Ukweli unakua uongo, wademu wa siku izi ukiwaambia ukweli wanajua unawadanganya, Ukiwaambia uongo ndi wanaona ukweli...... Subiri nitakupia nimeipenda :poa
 
ah mie kama mwanamke mwengine ni mzuri nitasema tuu bwana kama utamaindi kivyako...kwanza ndio napata sababu ya kukubwaga...sii nilishakumega u cn as well depart.
 
Back
Top Bottom