Wanaume wanapokuwa waongo...!

sometimes ukweli unatuumiza ila ni bora tupate hayo maumivu kwa muda huo pengine kwa namna moja au nyingine tunaweza kuchukulia kama changamoto ya kutufanya tuwe imara. Mfano unapomwambia mpenzi wako chakula kitamu wakati siyo inaweza mfanya kesho arudie mapishi yale yale wakati ungemwambia ukweli next tym ungekula msosi wa uhakika.
 
leo mi mchovu hata kusoma siwezi, maybe ntasoma nikiamka usiku asee...
 
Hahahahaaaaaaa! Ndo maana NIMEKWAMBIA USIDANDIE TRENI KWA MBELE!!! Wewe hii mada umeikuta leo umeidandia tuu! Hujui orig yake wala chanzo cha The Boss kutoa hizo shutuma! Mtambuzi anaelewa chanzo ndo maana sijamshangaa kuchangia! Sasa wewe ona unavotapatapa huelewi A wala B. Mimi IM TELLING THE TRUTH AS LONG AS HAKUNA ANAYEWEZA KUPROVE WITHOUT DOUBT IM LYING!!! Hujajua chochote bado UPO GIZANI SANAAAA! Kama umeamua kubisha USIBISHIE MSULI, TOA SUPPORTING EVIDENCE KUWA IM NOT WHAT I CLAIM TO BE!!!Otherwise ni MAJUNGUNIZATION!

Nachelea kuona ukikimba huu uzi, maana bado kitambo kidogo watakuja wanaoujua ukweli na hapo ndipo utakapoomba dunia isimame japo kwa sekunde moja......... Bi dada wenye nayo hawajisifii, bali hukaa kimya maana wao ndio wanaoujua ukweli... yawezekana kile unachoamini kipo hakipo maana kilipachuka wakati uleee ukicheza REDE utotoni.... angalia usije ukaomba POO......LOL
 
sometimes ukweli unatuumiza ila ni bora tupate hayo maumivu kwa muda huo pengine kwa namna moja au nyingine tunaweza kuchukulia kama changamoto ya kutufanya tuwe imara. Mfano unapomwambia mpenzi wako chakula kitamu wakati siyo inaweza mfanya kesho arudie mapishi yale yale wakati ungemwambia ukweli next tym ungekula msosi wa uhakika.

Sina uhakika sana, lakini niwajuavyo wanawake, kuambiwa na mpenzi mpya kwamba chakula si kizuri.....Mh, siku hiyo hata mwanaume afanye mbinu gani hatofika kileleni...
 
Hahahahaaaaaaa! Ndo maana NIMEKWAMBIA USIDANDIE TRENI KWA MBELE!!! Wewe hii mada umeikuta leo umeidandia tuu! Hujui orig yake wala chanzo cha The Boss kutoa hizo shutuma! Mtambuzi anaelewa chanzo ndo maana sijamshangaa kuchangia! Sasa wewe ona unavotapatapa huelewi A wala B. Mimi IM TELLING THE TRUTH AS LONG AS HAKUNA ANAYEWEZA KUPROVE WITHOUT DOUBT IM LYING!!! Hujajua chochote bado UPO GIZANI SANAAAA! Kama umeamua kubisha USIBISHIE MSULI, TOA SUPPORTING EVIDENCE KUWA IM NOT WHAT I CLAIM TO BE!!!Otherwise ni MAJUNGUNIZATION!
Kusema jambo ambalo hakuna anaeweza kuthibitisha kinyume chake ni ni kulifanya jambo hilo kuwa ukweli ni kwa mujibu wa kamusi gani?
 
Last edited by a moderator:
Nachelea kuona ukikimba huu uzi, maana bado kitambo kidogo watakuja wanaoujua ukweli na hapo ndipo utakapoomba dunia isimame japo kwa sekunde moja......... Bi dada wenye nayo hawajisifii, bali hukaa kimya maana wao ndio wanaoujua ukweli... yawezekana kile unachoamini kipo hakipo maana kilipachuka wakati uleee ukicheza REDE utotoni.... angalia usije ukaomba POO......LOL

Hahahaaaa! NANI AKIMBIE!!! THUBUTUUUUUU! HAYO YA KIMYA ZAMANI ILIPOKUWA ZAMA ZA PORINI!!! SAIVI DILI TENA ZAUZWAAA ATIII! AU HUJASIKIA? ALAFU MIMI SIWEZI KUKUBALI MTU UNGANGANIE SINAAAA! UMEJUAJEEEEEEE! AJE MTU MWENYE USHAHIDI WA KUTHIBITISHA SINAAAAA! NDO NITAKUBALI SIO STREO TYPE ZENUUUUU!!!!! MAJUNGU.COM
 
Kusema jambo ambalo hakuna anaeweza kuthibitisha kinyume chake ni ni kulifanya jambo hilo kuwa ukweli ni kwa mujibu wa kamusi gani?

HAPA HATUONGELEI KAMUSI WALA KUSEMA AU KUTOSEMA!!! Upo hapo? Hapa mada ni kuwa IM VIRGIN OR NOT!!! Sasa kama unabisha im not TOA USHAHIDI USIO NA SHAKA YOYOTE SIO KUZUNGUKA MBUYU!!! AS SIMPLE AS THAT!!! Usizungushe mada iliyowazai, kiswahili kinaeleweka kabisa KAMUSI ZA NINI TENA???? Hata mahakamani KESI IKIKOSA VIDHIBITI JAJI ANITUPILIA MBALI COZ NIKUMSUMBUA MSHTAKIWA!!! LETE UBISHI WA KISOMI A.K.A LAWYER
 
Nachelea kuona ukikimba huu uzi, maana bado kitambo kidogo watakuja wanaoujua ukweli na hapo ndipo utakapoomba dunia isimame japo kwa sekunde moja......... Bi dada wenye nayo hawajisifii, bali hukaa kimya maana wao ndio wanaoujua ukweli... yawezekana kile unachoamini kipo hakipo maana kilipachuka wakati uleee ukicheza REDE utotoni.... angalia usije ukaomba POO......LOL

Hahahaaaa! MUANZISHA MADA KAKIMBIA, KAONA HANA USHAHIDI BORA KUKIMBIA KULIKO KUTOLEWA KNOCK OUT
 
Daaaah mtambuzi umenena, muda mwingine ukisema ukweli kila mara ndio una haribu kabisa.

Uongo muda mwingine una jenga!
 
Hahahaaaa! MUANZISHA MADA KAKIMBIA, KAONA HANA USHAHIDI BORA KUKIMBIA KULIKO KUTOLEWA KNOCK OUT

KOMA WE BINTI MREMBO... Nilikuwa nambembeleza mwanangu NGIDADA mama apumzike, hujui nimejipalia makaa...LOL
 
usitake nikuaibishe mbele ya shemeji zako!!!! ebo!!

Hhahahaahaaaaaa! Wale wale wa UZUSHI.COM!!!!! MWAGA MIDATA KAMA UNAYOOO! TOA MIFACT NA EVIDENCE! ZA UKWEE! Failure to do so zitaprove kuwa na wewe ni MAJUNGU. COM and i might charge you for DEFORMATION!!!! Hahahahaaaaa! Usije tu kimbia kama hao wabishia msuli huko juu!
 
Back
Top Bottom