Wanaume wanaopenda wanawake wenye maumbo mazuri

Wanaume wanaopenda wanawake wenye maumbo mazuri

Alafu isitoshe tabia unaweza m control tu akakaa kwenye mstari.
Hakuna mwanamke alozaliwa akiwa na tabia mbovu ila wanaiga tu.
Mmmm hapana huwezi control tabia ya mtu hiyo ni kijidanganya; lakini pia huwezi oa mtu ambaye huna hisia naye eti tabia tu. Uhondo wa ngoma vyote vimatch, vinginevyo ndio tunashuhudia harusi nyingi siku hizi lakini life span yake miezi mitano
 
Back
Top Bottom