Wanaume wanaopenda lift....


Kweli mkuu hapo bolded nakuunga mkono ila na wapewa lift hasa wale wa kuomba kila siku kwa mtu mmoja wawe wanajiongeza kama leo na jana umeomba lift siku nyingine unawahi unapanda daladala na siku nyingine unajifanya kama hujamwona ili asimame mwenyewe maana lazima kuheshimu privacy za watu maana mtu anashindwa hata kupaki sehemu akapokea simu kuongea mambo yake personal.
 

Kingine kuna issue ya uaminifu pia maana unaweza ukawa umeweka mkoba wako wa laptop seat ya nyuma kwa kuwa uliempa ni jirani yako utaona soo kuuchukua kukaa nao mbaya zaidi na seat ya mbele kuna mtu mwingine amekaa, kiukweli ni muhimu kumpa jirani yako lift ila pia kuna issue ya usalama wa vitu vyako while unapokuwa unakwenda kazini.

Pia si vibaya kama huna gari ukajizoesha tu kuendelea na ratiba zako kama kawaida maana pamoja na kwamba mnakaa jirani si kwamba nyie ni marafiki (unajua kwenye gari huwa kuna story mbili tatu zinaendelea hasa kama wote ni marafiki tatizo anapoingia mtu mwingine inakuwa ngumu kuendelea na story zenu labda zinazohusu maendeleo yenu binafsi kama marafiki kwani wakati mwingine kwa umbali wa kwenda ofisini ndio muda muafaka kubadilishana mawazo)
 
wenye magari ya mkopo utawajua tu, masimango kwa kwenda mbele

Lakini ata mtu akikopa hela na akanunua gari, hilo gari linakuwa la nani? kukopa ni dhambi? Kitu cha msingi ni priorities tu! Wengine wanakopa na kuhonga, wengine wanakopa na kunywa, kununua furniture nk nk. Kila mmoja ana priority yake.
 
MARIOOO NA LELIE..OOOOO....MARIO...MARIO..:majani7:

Wacha tupige UMARIOO mujini tuendelee kula vitamu:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Tunatafutwa acha tu siye kina-Marioo :biggrin1::biggrin1:
 
MARIOOO NA LELIE..OOOOO....MARIO...MARIO..:majani7:

Wacha tupige UMARIOO mujini tuendelee kula vitamu:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Tunatafutwa acha tu siye kina-Marioo :biggrin1::biggrin1:
 
Mimi Cna Habari.. Asubuhi Nikitoka Na TOYOTA IST kangu uyo na vioo napandisha juu kabisa , 5% Tint kudadek, Hunioni ila mm nakuona. Ctoi Lift WABONGO wengine Lawama, Unakuta m2 Ndio Anakufanya TAXI DRIVER wke..mxcuuuuuuuu
 
Kusema kweli lift natoa sana ila tatizo watu wanabehave tofauti, kwa mfano umetoka kuosha gari mda si mrefu na mtu anaingia anaingiza michanga kibao na matope, jamaniiii kuosha gari ni gharama pia. Au unakuta mtu anafunga mlango kwa nguvu kama lori,dah....mara mbili tuu gari milango imelegea...kweli sio kwamba tunakataa kutoa lift ila sina matatizo mengi
 

Umeongea vizuri....na hapo kuna watu wanasema ni magari ya mikopo. Sasa kama mimi nimekopa na priority yangu nikanunua gari.. Si nao wanunue? Mbona Japan magari ni mengi tu. Mi bado nawapa watu lift ila sipendi mtu anipigie nikiwa job eti anataka lift jioni. Na pia badala ya kusimama kituoni, yeye anakaa pembeni kabisa utafikiri gari ni la familia! Pandeni daladala, wote tumetoka huko na lift tutatoa pale ambapo kweli kuna haja ya kufanya hivyo...
 
Naona tunasimangwa sisi masikini tusiokuwa na vyombo yvya usafiri,ipo siku nasi mungu atakuja kutupa,na akitupa tutawasaidia ambao watakuwa hawana!!

Ni kweli mkuu na sisi iko siku tutatokamo, ni suala la mda tu.
 
Kuombaomba ni tabia, wengine wanayo wengine hawana. Personally siipendi sana, kama huna gari daladala zipo, utapataje motivation ya kusonga mbele wakati una-enjoy viyoyozi vya wenzio?
 
Hahahahaahaaaaaaaaaaaaa! wera weraaaaaaaaaaaaaa! Wilyelele Hongeraaaaaaaaa! Duh! sikufahamu kama umenunua Gari, Basi utanikuta namim pale kituoni kesho, na sitachangia mafuta. Khaaaaaaaaaa! kama kawaiada yako.
 
Do you.

Kuchunguzachunguza maisha ya watu ni dalili ya kukosa kazi.

Kama una gari na hutaki kuwapa lift wapotezee.

Unaweza kuambiwa unadhalilisha wanawake kwa kufanya wao tu ndo watu wanaostahili kusaidiwa kwa kupewa lifti.
 
Kuwa na uwezo wa
kukopesheka ni sifa nzuri, hasa mtu akikopa na akanunua gari! Then
anajua kwamba anakatwa, hajamaliza mkopo halafu mtu mwingine nae
analifanya gari kama lake. Kila siku anapiga mkono kama traffic!
Jamani!

Lipaki basi ili wasikuchafulie mtu wangu
 
Mtoa uzi kusema kweli sikuungi mkono, hivi kama gari ni la siti 5 na uko peke yako au na my wife wako tu ukipakia na majirani 2 (Ambao ndio watakukimbilia siku ukipata shida usiku) unakuwa umeharibu au kupunguza nini jamani, mafuta si ni yale yale mkuu? Kama ni praivesi na wife si mnalala chumba kimoja jamani na kama siku hutaki kumpakia mtu anakupigia simu si unamwambia tu kuwa nina mizunguko kidogo leo, Nilidhani labda ungeona ufahari kuwa unasaidia watu kwa roho nyeupe kumbe unasaidia huku unaumia!

Kusaidia watu ni vizuri mkuu, inaongeza sana amani moyoni kwako na maishani kwako, huna haja kumsimanga mtu ambae kabisa unajua msaada wako ni muhimu kwake na shukrani yake ni thawabu kwako Boss!
 

Kumbuka huyo huyo Mungu aliyekupa hao unaowadharau kwa kukuomba lift ndo huyo huyo aliyewanyima na kumbuka kuna kitu kinaitwa kutesa kwa zamu, sasa ni wakati wako iko siku itakuwa ni wakati wao sijui kama utakuja humu jamvini na maneno kama haya
 
Kuwa na uwezo wa kukopesheka ni sifa nzuri, hasa mtu akikopa na akanunua gari! Then anajua kwamba anakatwa, hajamaliza mkopo halafu mtu mwingine nae analifanya gari kama lake. Kila siku anapiga mkono kama traffic! Jamani!

Kwani umelazimishwa?

Wanakushikia bunduki?
 
Wapi ndyoko mzee wa ''hivi jirani kwa nini hununui gari'' naona jirani yako kaamua kukuvaa huku!!!
Chineke nicheke mie
kuweni kama sie tazara tunawabeba bureee hata sent hatuwachaji tena wenyewe wameshazoea ni kama daladala lao free of charge looo
ila mtoa mada mbinafsi sana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…