Wanaume wanaopenda kununa

Either ni wivu au Ubahili au AB yote ni majibu sahihi
 
We ushawahi kununiwa mamii
Kwenye ndoa mambo ni mengi lakini sisi wakongwe mambo ya kununiana yanatoka wapi,

I mean we understand each other, and we probably know how to deal with issues, kukwazana kupo lakini not to the extent ya kununa, the kids are reading our faces na akiona umekasirika kidogo anakuuliza mom any problem? Sasa mtaji huu tukitoka chumbani our faces lazima ziwe happy ili kuondoa maswali kwa watoto
 
Hahahah mnawaigiZia madogo hapo kumbe umetoka kula makofi 😂
 
Kwa mpalange ndo kule kwenye tope?
 
kisha ziteme pumbu😂😂😂
Kwel watu wamevulugwa aisee
 
Mwanaume kununa weekend kunapunguza matumizi yasiyo na msingi, Jamaa anakwepa Outing na Mizinga ya weekend!
 

Haya wale wa kwa mpalange mnaitwa huku…….tangazo lilipiwe hili jamani.
 
Hiyo tabia ninayo na cwezi acha Mana napata Raha kubembelezwa
 
We jamaa acha kumuunga mkono huyo anataka asukumwe mbolea
 
Inategemea,mimi binafsi nisipotka hata ufanyaje mnara hausomi,vaa afu fanya uwezavyo ila kuna watu tumeumbwa hatuendeshwi na maku mkuu,naweza kukaa mda mrefu bila kuchakata na hakuna tatizo ni vile tu nilivyoji condition.Hii kitu inanisaidia usiwe mtumwa wa k za wanawake vinginevyo utapata tabu sana kama navyowaona wengi wanapata hizo tabu maana silaha ya mwanamke ni k tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…