Wanaume wanaopenda kununa

Vipi bado unataka mpalange?
 
Ebu kwanza kwanini iwe kila ijumaa kuelekea weekend?, au ulikua unampiga mizinga sana mtoto wa mwanamke mwenzio?,pesa ya kusuka nk.nk. akaona hasara hii. Bora anune tu mtaonana jtatu busy kazini ikifika weekend mnuno tena😀
 
Ebu kwanza kwanini iwe kila ijumaa kuelekea weekend?, au ulikua unampiga mizinga sana mtoto wa mwanamke mwenzio?,pesa ya kusuka nk.nk. akaona hasara hii. Bora anune tu mtaonana jtatu busy kazini ikifika weekend mnuno tena
Mimi sina cha kuongezea, umeongea kwa dole gumba umemaliza.
 
Akinuna tena.. njoo Pm tumkomoe
 
Dah "...mpalange.....",sijui kama unajua unachokifanya,bora huyo kanuna mimi ukinitajia huo upuuzi wa kwa Mpalange mahusiano yanavunjika hapo hapo.
 
Mshikaji wknd alikuwa anachit kwa amani tu.
 
NASIKITIKA watu hawaja notice kilichotakwa kuletwa na mleta Mada hapa

Kazi kweli kweli
 
Sasa ndio paka utuite 'mijanaume' ndio ujumbe ufike? Be kind pls.
 
Mwandishi wa hii ni ke au me?
 
Ina maana mtu akikaa kimya ndo amenuna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…