queenlishas
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 288
- 76
Eti Dar es Salaam ndio ipo nchi ya Bongo au Bongo ipo katika nchi ya Dar es Salaam?Kataa au bisha ila ukweli ndo huo. Wanaume asilimia mia tisa tisin na tisa point tisa wanachepuka. Ni ngumu kwa wadada walio olewa au kuwa na wachumba/boyfrends kutoka nje ya mahuaiano ila wa kaka nawapa salute kwa ilo. Na ata akikutana na ex wake na tayari keshaoa bado atataka kugonga.BADILIKENI JAMAN UKIMWIIII
Umesema 999.9% ???
Eti Dar es Salaam ndio ipo nchi ya Bongo au Bongo ipo katika nchi ya Dar es Salaam?
ukimwi hatari. .watu hofu ya Mungu imepotea kabisa
Haswaaa ujakosea.au umefanya UTAFITI wataka ongeza
Uoga hakuna mandy.wanaogopa mimba tu..wako makini haooo wanajua ukipata msala
peleka ujinga wako huko.
Mnavojua kubembeleza na kudanganya mhh hata mtu anaweza awe mchepuko bila kujua.....God help usHiyo michepuko tunafanya na nyie wanawake lkn
Mnavojua kubembeleza na kudanganya mhh hata mtu anaweza awe mchepuko bila kujua.....God help us