Wanaume wanaolia lia wanamauzi sana

amanda cute

JF-Expert Member
Oct 27, 2016
244
452
Wanaume mnasahau kua maandiko yanasema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaune kazi yake ni kuhangaika kumtafutia mwanamke.

Hii milio ya Nokia imezidi kwa wanaume wa Leo kiukweli unakuta mwanaume anamhudumia mwanamke uku analia lia tuu na wengine kushinda mitandaoni kuponda tuu hivi mmesahau starehe gharama?

Na ukitaka msichana mkali ujue kuhudumia pia kama huwezi kuhudumia msichana wazuri utaishia kuwaaita Shem tuu.

Hivi mnavyokua faragha na kutupindua pindua mnadhani ni nini? Na pia mjue si kila unapoambiwa unapendwa unapendwa kweli inapendwa pochi. Na usifikirie ile milio ni mahaba unamuumiza pengine unazomewa umalize tuu haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nashaangaa sana wanawake kuhisi wanatukomoa yaan mngejua,...!!!, wanaume tuna busara sana ila ndo ivo uself centered wenu mnahisi mnatutesaaaaa,... Wakati sisi ni tofauti
 
Wanaume mnasahau kua maandiko yanasema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaune Kazi yake ni kuhangaika kumtafutia mwanamke.. Hii Milio ya Nokia imezidi kwa wanaume wa Leo kiukweli unakuta mwanaume anamhudumia mwanamke uku analia lia tuu na wengine kushinda mitandaoni kuponda tuu hivi mmesahau starehe gharama? Na ukitaka dem Mkali ujue kuhudumia pia kama huwezi kuhudumia madem wazuri utaishia kuwaaita Shem tuu... Hivi mnavyokua faragha na kutupindua pindua mnadhani ni nini? Na pia mjue si kila unapoambiwa unapendwa unapendwa kweli inapendwa pochi... Na usifikirie ile Milio ni mahaba unamuumiza pengine unazomewa umalize tuu haraka...

Sent using Jamii Forums mobile app
Si mnadai haki sawa!

Lazma na wewe umuhudumie mwenzi wako.

Acheni kupenda kuteleza kwenye ganda la ndizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom