Being_neutral
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 379
- 720
Mkuu chek vzur kaandika kama kukataa ndoa ni kila mtu akae kivyakeBandiko Lako ni refu, lakini halijazingatia hoja wanazoongelea timu kataa ndoa. Wewe unazungumzia sogea tuishi kama ndio Moja ya ajenda yao, wakati wao hata hiyo sogea tuishi hawaitaki.
Alaf kingine ambacho hujakigusia au pengine hukijui, ni kwamba, kwenye timu kataa ndoa kuna makundi ya aina mbili. Kundi la kwanza ni wale wanaokataa ndoa kwa kutamka (hawa ni wanaume), lakini pia kuna kundi jingine ambalo linakataa ndoa kwa vitendo (hapa wengi ni wanawake). Ili kundi la pili, ndio limeibua kundi la kwanza.