Wanaume wanaoitwa shem wana tabia mbaya

Kwa hiyo unataka tukufundishe jinsi ya kukataa?
Inaonekana ushaanza kumpenda huyo baharia,we mpe tu
 
We hata ukisumbuliwa huwezi kusema..Nilitegemea hilo jibu
Hahaha umenikumbusha kitu nimejikuta nacheka. Mimi na mdogo wangu tulikuwa tunaishi na dada yetu, mimi kwa kawaida ni mkimya na mtulivu (yaani sinaga ule ujanja ujanja wa kuongea au kurukaruka tangu nikiwa mdogo) mdogo wangu ye ni kinyume chake, sasa bwana kalipofikia ule umri wa kuota tumaziwa si wakaanza kukatongoza, basi kakitongozwa kanagomba kwa sauti bila hata kujali na nyumbani kanakuja kusema. Ikabidi sister aulize hizi kesi kwako mbona sikuwahi kuzipata. Nikamjibu tu kuwa tunatofautiana nguvu za kukabili matatizo, huyo mdogo wako yeye kukataa peke yake hawezi ila mimi naweza na ningekuwa nakuambia huenda ungeishia kugombana na watu wengine wa karibu yako.
 
Teh teh. Dogo lako korofi..We kama sista ulikuwa unamsaidiaje..Unavipiga makonzi hivyo vibazazi?..
We na huo upole wako ukitongozwa ulikuwa unalia nadhani...
 
Kiufupi nikwamba mpaka hapo umeshaliwa kuwa mpole tu, haujiamini na hauna msimamo!
 

mwambie yule bibi yako mganga akusaidie
 
Nyie msiopiga makelele ni hatari zaidi shemela
 
Muonjeshe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…