Wanaume wanaocheza mziki

Alafu unakuta 6*6 yenyewe waguumu kama gogo la mpinga
 
mbona kucheza kawaida sana
sasa ngoja siku utawaona MADANCERS WA TAARAB ndo utasema afadhali ya wengine
 
Diamond Na Dancers Wake Hawa Kiuno Zaidi Ya Ray C
 
kwann hukuja na wife sasa
Sina wife baby,ningekuwa nae usingeniona humu,natamani nami nipate wife hivi karibuni,ndio maana unaniona najaribu bahati humu,ingawa wengi wanafikiri kupata mrembo wa maisha humu haimwezekani,hapana sio kweli coz humu kuna wanawake wengi waliopitia maisha na wanajua maisha ni nini?pia wako huru kama mimi nitajiongeza na kuwaheshimu,basi tunaweza kuwa mwili mmoja mpaka kifo kitutenganishe baby au vipi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…