Wanaume wananichukulia tofauti na nilivyo

Wanaume wananichukulia tofauti na nilivyo

florence

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2011
Posts
423
Reaction score
163
Habari wanajamii

Naombeni mchango wa mawazo, imetokea wanaume wananiambia ati wananiogopa, mie ni mbabe, najiamini sana na wengine huenda mbali kwa kusema mwanamke wa dizain yako sioi.

Kwakweli sipo hivyo na huwa naumia sana mtu anaponitamkia hayo. Nasikitika mana sielewi ni kitu gani na kutongozwa na waume za watu kumezidi il a sio na singles?

Tafadhalini wanajamii naimani kuna watu wanaofahamu vizuri psychology wanishauri jamani.

Asanteni kwa kunijibu bila kejeli
 
^^
Ni kawaida ya kundi la aina yenu, nje mnajiamini, nje mna nguvu, nje mnajiweza, nje mnazidi sifa za baadhi ya wanaume! Ndani mnaumia, mna upendo, mnahitaji kufarijiwa, mnapenda kujitoa kwa dhati na kwa hiari, Lakini wanaume wanaojua siri yenu hii hamkutani nao sana!
Sasa, vaa tabasamu, ondoa mikunjo ya uso, tembea na ufunguo wa kuyaona mambo ni mepesi ! Azima sauti ya kawaida! Be simple!
Wanaume wengi hawavutiwi na mwanamke aliyekama mwanaume! Make a femine revolution inside yourself. Your a beautiful woman trust me.
(oo! Sorry kumbe hii ni thread ya wanasaikolojia, yachukulie hayo maneno ya mlevi tu)
^^
 
ukiambiwa kitu kinachokuhusu na watu zaidi ya watatu ambao hafahamiani uchukulie kuwa watu wanakuchukulia hivyo. la muhimu hapa badala ya kupinga maneno ya watu uyafanyie kazi.
Kuna vitu ambavyo tunavifanya bila wenyewe kujua, watu wanaotuambia wanatupenda na wanataka tubadilike (kama ni kitu ambacho hakina maslahi).
Fanyia kazi hayo wanayokuambia badala ya kubishia.
Nakutakia kila la heri katika mabadiliko
 
habar wanajamii. heshma kwenu.
Naombeni mchango wa mawazo. imetokea wanaume wananiambia ati wananiogopa, mie ni mbabe, najiamini sana na wengine huenda mbali kwa kusema mwanamke wa dizain yako sioi.
kwakweli sipo hivyo na huwa naumia sana MTU anaponitamkia hayo.
Nasikitika mana sielewi ni kitu gani na kutongozwa na waume za watu kumezidi il a sio na singles?
tafadhalini wanajamii naimani kuna watu wanaofahamu vizuri psychology wanishauri jamani.

Asanteni kwa kunijibu bila kejeli
Shida kubwa mliyonayo wadada ni kujiweka kwenye class zisizo zenu... Matokeo yake wa class yako wanakukimbia, na huko ulikojikweza wanakudharau... Mwisho wa siku utatupata sisi waume za watu
 
^^
Ni kawaida ya kundi la aina yenu, nje mnajiamini, nje mna nguvu, nje mnajiweza, nje mnazidi sifa za baadhi ya wanaume! Ndani mnaumia, mna upendo, mnahitaji kufarijiwa, mnapenda kujitoa kwa dhati na kwa hiari, Lakini wanaume wanaojua siri yenu hii hamkutani nao sana!
Sasa, vaa tabasamu, ondoa mikunjo ya uso, tembea na ufunguo wa kuyaona mambo ni mepesi ! Azima sauti ya kawaida! Be simple!
Wanaume wengi hawavutiwi na mwanamke aliyekama mwanaume! Make a femine revolution inside yourself. Your a beautiful woman trust me.
(oo! Sorry kumbe hii ni thread ya wanasaikolojia, yachukulie hayo maneno ya mlevi tu)
^^

as ante sana ni kweli kabisa, hujakosea kwa kifupi umenisaidia pia kusema niliyoshindwa kuandika. nakushukuru kwa kunipa mwongozo
 
Ulivyojieleza nawatambua sana wanawake wa dizain hiyo,acha ukorofi kwa wanaume,unaweza kujiona uko sawa lakini ubabe kwa mwanamke utaendelea kuwaona wenzio wanafunga ndoa na wewe ukazaa bila ndoa,nimesema hayo kwa sababu nina uzoofu na wanawake wa jinsi ya ulivyojielezea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom