Pole zako dadaaa. Kweli umeumia sana na labda aliyekufanya umwache sasa kakusubirisha kwenye waiting list. Ulipotaka kuyarudia matapishi ukakuta umewahiwa seat. Dah! Ka hodi ulikuwa hujalipiwa kumbuka hii ni April, mwanzo wa mkataba mpya!!!! Kweli vidume vingine balaa kabisa. Unamfanya dem anakurupuka kutishia nyau mzee wa kodi ya pango kabla hujamuweka sawa. Sasa utaaibika mwezi huu huu April. Kumbuka this was April Fool's month.Wewe mimi siumii cuz mimi ndio nimemuacha halafu baada ya kumuacha kani block kote kote. Sasa hapa anaeumia nani kama sio yeye. Girl wake mpya sijamchunguza nimetumiwa picha na mtu tu
Mimi naumia vipi wakati nimetulia zangu naendelea na maisha yangu. Yeye ndio anaeumia ujue kwenye relationship mkiachana yule anaejifanya ku move on haraka ndio aliyeumia sana. Masikini katafuta kajitu kabaya ili kuonyesha watu ame move on haha huku moyoni anauamiaMbona wewe ndio unateseka sasa?
Huyo unayemuona mbaya Mungu atajalia ataolewa wewe endelea kudanga.Mimi naumia vipi wakati nimetulia zangu naendelea na maisha yangu. Yeye ndio anaeumia ujue kwenye relationship mkiachana yule anaejifanya ku move on haraka ndio aliyeumia sana. Masikini katafuta kajitu kabaya ili kuonyesha watu ame move on haha huku moyoni anauamia
Nimeelewa mambo miwili ya muhimu sana kwenye hili bandiko lako....Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu [emoji23][emoji23] halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona [emoji23][emoji23] kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii [emoji28] halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia [emoji6]
Yani mtu nimuache halafu nimuonee wivu? wivu wa nini sasa?Sound like wivu hiviii!!!auuu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana dada, leo umeniwakilsha vyema...Mbona wewe ndio unateseka sasa?
Na ndiosababu sasa anaonekana kutapatapaSound like wivu hiviii!!!auuu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ati amenipora haha hajanipora time niko naye nimeachana naye ndio imekuwa amenipora tena haha wewe vipi
Mfa maji...tehteehh [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe mimi siumii cuz mimi ndio nimemuacha halafu baada ya kumuacha kani block kote kote. Sasa hapa anaeumia nani kama sio yeye. Girl wake mpya sijamchunguza nimetumiwa picha na mtu tu
Sasa unahangaika nini,akati jamaa katulia anajilia mdogomdogo. Usikute kanakuzidi mapishi aiseeAti amenipora haha hajanipora time niko naye nimeachana naye ndio imekuwa amenipora tena haha wewe vipi
ndio maana nakupendaga sana binamu😘Inaonekana wewe ndio unateseka maana hadi umemjua gf wake mpya ukamchunguza ukaona ni mbaya, uzuri wa mtu uko machoni mwa anayemtazama. Just move on girl
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan mtu akublock kotekote halafu aumie tena. Rejea msemo huuwa kisukuma "the best way to revenge is to move on"Wewe mimi siumii cuz mimi ndio nimemuacha halafu baada ya kumuacha kani block kote kote. Sasa hapa anaeumia nani kama sio yeye. Girl wake mpya sijamchunguza nimetumiwa picha na mtu tu
Kumloga? Kumloga mwanaume asiyejitambua ili iwe nini?Unatueleza mbaya wakati ukipata fursa tu unamloga.
Huwa situmii pichaWeka picha zenu wote ili tutoe hukumu ya haki
Situmii fb nimeweka humu ili na wewe kama uko na tabia za hivi uache unajiaibisha BureHizi habari HAZINA hadhi ya kuwa humu ...., We mdada umekosea njia kwanza huyo mtu unayemzungumzia hakuna anayemfahamu humu...peleka huko fb na umtag
Inaonekana wewe ndio unateseka maana hadi umemjua gf wake mpya ukamchunguza ukaona ni mbaya, uzuri wa mtu uko machoni mwa anayemtazama. Just move on girl
Sent using Jamii Forums mobile app