Wanaume waliotaka kunioa nikakataa hawa hapa

Hata Mungu nae hua anajaribu kuweka uwiano,imagine mchafu na mchafu wamekutana,walah iyo nyumba wageni hawatakuja kukanyaga milele


ahhaahha na kweli aisee ! patashika nguo kuchanika
 
Huyu wa mwisho mbona kama ni matango pori,maana ulisha leta hapa ukasema anamihela ila hukumzungumzia kama hivi?
 
Poyeee mpendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…