Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,214
- 50,188
Daraja la Ubungo pale itapendezaChagua tukujengee sanamu wapi bibie
Daraja la Ubungo pale itapendezaChagua tukujengee sanamu wapi bibie
Pole sana kwa kutapeliwa!!!Unakutana na mkaka handsome anavutia, anakutafuta kwa muda kisha anakutongoza .
Unapomuuliza kama ameoa anakwambia bado, ukimuuliza kweli kwa umri huu huna mke , anakujibu ndoa imevunjika, au hana kabisa
Unampa moyo wote, kumbe ana mke na watoto 7 na wanaishi kwa amani kabisa
Wanaume tulieni na semeni ukweli
Wish granted tunaamza mchakato wa kuomba fedha serikalini upembizi yakinifu utafanyika na sanamu litaenda kuchongewa uingereza japo jamaa wa mwenge wapo😂😂😂Daraja la Ubungo pale itapendeza
Chagua yoyoteYepi yale ya madam Anna Makinda au ya UN ?
Pole sana.Unakutana na mkaka handsome anavutia, anakutafuta kwa muda kisha anakutongoza .
Unapomuuliza kama ameoa anakwambia bado, ukimuuliza kweli kwa umri huu huna mke , anakujibu ndoa imevunjika, au hana kabisa
Unampa moyo wote, kumbe ana mke na watoto 7 na wanaishi kwa amani kabisa
Wanaume tulieni na semeni ukweli
UNChagua yoyote